Tetesi: ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—”๐—ฝ๐—ฝ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
Tumeona feature nyingi zikitoka mwaka huu 2023 kwenye WhatsApp wanazidi kuendelea kufanya vyema sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia.

WhatsApp wanakuja na feature mpya ya kuweza kurahisisha mambo mengi kwenye Akaunti zetu, unakumbuka ile feature ya kuweza kutumia Akaunti moja kwenye vifaa zaidi ya vinne Tena tofauti tofauti achana nayo [emoji16] hiyo.

whatsappbusiness.jpg

Kuna nyingine bhana inakuja sio poa hii ni feature mpya ya kuweza kukusaidia kutumia Akaunti zaidi ya moja kwenye kifaa kimoja. Yani utakua na uwezo wa kutumia Akaunti zaidi ya moja kwenye simu yako hiyo hiyo bila kubadilishi simu.

So utakua na uwezo wa ku log out au kuchagua Akaunti nyingine unayotaka kuweza kutumia WhatsApp yako, kwaiyo watu watakua na uwezo wa kudhibiti mazungumzo yao ya kibinafsi na Kazi kwa ku swipe tu kwenye Akaunti Gani wanataka kutumia.

whatsappb2.jpg

Kwanza itaanza kupatikana kwa watumiaji wa WhatsApp business ambao ni beta version alafu siku za usoni itakua available worldwide. Japo hii feature ilikuwepo kwenye Akaunti ya Instagram, Facebook, Twitter nazani na telegram kama sikosei.

Unaionaje hii feature ya ku log out au ku swipe kwenye Akaunti nyingine walikuja nayo WhatsApp vipi Iko poa tuachie maoni yako ?
 
Ni vizuri wanaweka hiyo feature kwenye app yenyewe. Lakini ukitaka kutumia Whatsapp zaidi ya moja kwenye simu moja inawezekana hata bila kuanza kwa hiyo feature mpya. Download dual space, dual space lite, multi space au parallel space kutoka play store au app store. Utaweka Whatsapp nyingine huko na kutumia.
 
Download dual space, dual space lite, multi space au parallel space kutoka play store au app store. Utaweka Whatsapp nyingine huko na kutumia.
Hii waga inasumbua sana.

Bora ku log out na kulog in kwenye account tofauti tofauti
 
Ni vizuri wanaweka hiyo feature kwenye app yenyewe. Lakini ukitaka kutumia Whatsapp zaidi ya moja kwenye simu moja inawezekana hata bila kuanza kwa hiyo feature mpya. Download dual space, dual space lite, multi space au parallel space kutoka play store au app store. Utaweka Whatsapp nyingine huko na kutumia.
Mi ninazo tatu kwenye simu moja [emoji1787]
 
Mimi natumia what's app 2 ,face book 2 na Instagram 2........hiyo kitu imeshaanza muda tu
 
Tumeona feature nyingi zikitoka mwaka huu 2023 kwenye WhatsApp wanazidi kuendelea kufanya vyema sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia.

WhatsApp wanakuja na feature mpya ya kuweza kurahisisha mambo mengi kwenye Akaunti zetu, unakumbuka ile feature ya kuweza kutumia Akaunti moja kwenye vifaa zaidi ya vinne Tena tofauti tofauti achana nayo [emoji16] hiyo.

View attachment 2659804

Kuna nyingine bhana inakuja sio poa hii ni feature mpya ya kuweza kukusaidia kutumia Akaunti zaidi ya moja kwenye kifaa kimoja. Yani utakua na uwezo wa kutumia Akaunti zaidi ya moja kwenye simu yako hiyo hiyo bila kubadilishi simu.

So utakua na uwezo wa ku log out au kuchagua Akaunti nyingine unayotaka kuweza kutumia WhatsApp yako, kwaiyo watu watakua na uwezo wa kudhibiti mazungumzo yao ya kibinafsi na Kazi kwa ku swipe tu kwenye Akaunti Gani wanataka kutumia.

View attachment 2659805

Kwanza itaanza kupatikana kwa watumiaji wa WhatsApp business ambao ni beta version alafu siku za usoni itakua available worldwide. Japo hii feature ilikuwepo kwenye Akaunti ya Instagram, Facebook, Twitter nazani na telegram kama sikosei.

Unaionaje hii feature ya ku log out au ku swipe kwenye Akaunti nyingine walikuja nayo WhatsApp vipi Iko poa tuachie maoni yako ?
Hahahahah, hiyo kama JF sasa. Ma akaunti kibao, mpaka watu wanaandika na kujijibu wenyewe.
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom