Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,154 Reaction score 31,246 Dec 31, 2020 #21 The Boss said: Wadada wa iPhone 6 kama nawaona Click to expand... Hao hawana shida maana ni iPhone 4 kurudi nyuma ndizo haziwezi kuwa upgraded to iOS 9
The Boss said: Wadada wa iPhone 6 kama nawaona Click to expand... Hao hawana shida maana ni iPhone 4 kurudi nyuma ndizo haziwezi kuwa upgraded to iOS 9
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Dec 31, 2020 #22 Watumiaji wa Tecno haituhusu
K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,634 Reaction score 7,015 Dec 31, 2020 #23 WhatsApp ni application bora kabisa wacha waringe. Telegram ni nzuri ila sijui kwa nini siipendi.Naitumia lakini siipendi kabisa. uzio usio onekana said: WhatsApp wanalinga sana na application yao. Click to expand...
WhatsApp ni application bora kabisa wacha waringe. Telegram ni nzuri ila sijui kwa nini siipendi.Naitumia lakini siipendi kabisa. uzio usio onekana said: WhatsApp wanalinga sana na application yao. Click to expand...