WhatsApp na hadithi ya kinyozi na mfalme

WhatsApp na hadithi ya kinyozi na mfalme

darcity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2009
Posts
9,101
Reaction score
18,055
Zamani lilikuwa kama shimo la kuchekea na kumalizia hasira dhidi ya watawala.Lakini sasa imekuwa mti ulioota katika shimo la kuchekea.wanafiki,wambea,washkunaku kwenye ma-group wako kibao.

hadithi.jpg
 
Sasa hivi watu wako makini kwenye makundi huko, panaogopeka vibaya mno..
 
Sasa mfalme anajaribu kuwafunga watu midomo kwa mtutu wa bunduki.

Lile shimo la kuchekea limekuwa haramu kuliko hata madawa ya kulevya.
 
Sasa mfalme anajaribu kuwafunga watu midomo kwa mtutu wa bunduki.

Lile shimo la kuchekea limekuwa haramu kuliko hata madawa ya kulevya.
yaani ukicheka kidogo unavujisha siri, alafu askari wa mfalme wako makini kumfurahisha mkuu
 
Sasa hivi watu wako makini kwenye makundi huko, panaogopeka vibaya mno..
na askari wa mfalme wako bize kulinda kebehi kwa mfalme kichwa kuliko bize ya kujilinda wao kwa wao.
 
Back
Top Bottom