darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,101 Reaction score 18,055 Sep 23, 2016 #1 Zamani lilikuwa kama shimo la kuchekea na kumalizia hasira dhidi ya watawala.Lakini sasa imekuwa mti ulioota katika shimo la kuchekea.wanafiki,wambea,washkunaku kwenye ma-group wako kibao.
Zamani lilikuwa kama shimo la kuchekea na kumalizia hasira dhidi ya watawala.Lakini sasa imekuwa mti ulioota katika shimo la kuchekea.wanafiki,wambea,washkunaku kwenye ma-group wako kibao.
Athy Sal JF-Expert Member Joined Dec 23, 2012 Posts 507 Reaction score 339 Sep 23, 2016 #2 Sasa hivi watu wako makini kwenye makundi huko, panaogopeka vibaya mno..
Losser Bad JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 584 Reaction score 1,346 Sep 23, 2016 #3 Sasa mfalme anajaribu kuwafunga watu midomo kwa mtutu wa bunduki. Lile shimo la kuchekea limekuwa haramu kuliko hata madawa ya kulevya.
Sasa mfalme anajaribu kuwafunga watu midomo kwa mtutu wa bunduki. Lile shimo la kuchekea limekuwa haramu kuliko hata madawa ya kulevya.
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,101 Reaction score 18,055 Sep 23, 2016 Thread starter #4 Losser Bad said: Sasa mfalme anajaribu kuwafunga watu midomo kwa mtutu wa bunduki. Lile shimo la kuchekea limekuwa haramu kuliko hata madawa ya kulevya. Click to expand... yaani ukicheka kidogo unavujisha siri, alafu askari wa mfalme wako makini kumfurahisha mkuu
Losser Bad said: Sasa mfalme anajaribu kuwafunga watu midomo kwa mtutu wa bunduki. Lile shimo la kuchekea limekuwa haramu kuliko hata madawa ya kulevya. Click to expand... yaani ukicheka kidogo unavujisha siri, alafu askari wa mfalme wako makini kumfurahisha mkuu
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,101 Reaction score 18,055 Sep 23, 2016 Thread starter #5 Afriboy Sal said: Sasa hivi watu wako makini kwenye makundi huko, panaogopeka vibaya mno.. Click to expand... na askari wa mfalme wako bize kulinda kebehi kwa mfalme kichwa kuliko bize ya kujilinda wao kwa wao.
Afriboy Sal said: Sasa hivi watu wako makini kwenye makundi huko, panaogopeka vibaya mno.. Click to expand... na askari wa mfalme wako bize kulinda kebehi kwa mfalme kichwa kuliko bize ya kujilinda wao kwa wao.