Vipi unetuma Meseji mbaya nini kwa Mama Mkwe?Naomba kujua waliofanikiwa ku update whatsapp ikaja na feature mpya ya ku edit meseji uliyotuma ikiwa na makosa atusaidie tusipata hiyo kitu ikiwa inafanya kaziView attachment 2749751
[emoji23][emoji23][emoji23]Vipi unetuma Meseji mbaya nini kwa Mama Mkwe?
Inafanya kazi. Ila sms isiwe imekaa zaidi ya dk 15 tangu uitumeNaomba kujua waliofanikiwa ku update whatsapp ikaja na feature mpya ya ku edit meseji uliyotuma ikiwa na makosa atusaidie tusipata hiyo kitu ikiwa inafanya kaziView attachment 2749751
Yes hata kama msg ilishaenda ukiedit inabadilika.
✅Ndani ya dakika 15 baada ya kuituma. Zaidi ya hapo nafikiri haitakubali marekebisho.
Nata ile ya kusoma deleted msg messg