We Nyani we yaani basi tu. Yaani nimeangua kicheko bila kupenda. Sijui sometimes huwa unafikiria nini. It must be extremely loud in your mind!Lushindo loko. .
Hahaaaaa....hiyo ndo status yangu mazee....huko wasapu[emoji23]We Nyani we yaani basi tu. Yaani nimeangua kicheko bila kupenda. Sijui sometimes huwa unafikiria nini. It must be extremely loud in your mind!
BusyHabarini wakuu..
Najua wengi humu ni watumiaji wa whatsapp, kwaio tutajiane whatsapp status unayoitumia sasa au uliyowahi kukutana nayo ukaipenda au ikakufurahisha..yangu ya sasa ni "Ninaipenda furaha lakin haidumu"
karibuni...
salomeMwenye wivu ajinyonge