Whatsapp ya blustack haioneshi majina ya namba

zink

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2021
Posts
1,208
Reaction score
2,352
Habari wakuu wa jf, niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nimekua nikitumia whatsapp ya blustack kwenye laptop yangu, sasa shida imeanza juzi hapo nilipofungua whatsapp hii ya blustack na kushindwa kuona majina ya namba nilizosave na sijajua shida ni nini ebu wakuu nisaidieni hapo maana nmejaribu kuimport naona nashindwa tu. naombeni msaada kwa wajuvi wa haya mambo wakuu.
 
Ingenuwa official whatsapp sawa tungejibu. ila sasa hizo modified whatsaap kila mmoja anakuja na mautundu yake
 
Labda imesignout your google account mkuu, umecheck kuona kama bado ukesign in?
 
Bluestacks ni emulator inayokiwezesha kutumia apps za android kwenye pc so unaweza install apks
 
download lile file la majina playstore halafu sajili majina yako humo itaonesha tuu
 
Labda imesignout your google account mkuu, umecheck kuona kama bado ukesign in?
Ni kweli mkuu imenisgn out account yangu ngoja nijaribu kusign in
 
Nitajaribu pia mkuu, hapa najribu kusign in maana nahisi account yangu imesign out

download lile file la majina playstore halafu sajili majina yako humo itaonesha t
 
Back
Top Bottom