Labda imesignout your google account mkuu, umecheck kuona kama bado ukesign in?Habari wakuu wa jf, niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nimekua nikitumia whatsapp ya blustack kwenye laptop yangu, sasa shida imeanza juzi hapo nilipofungua whatsapp hii ya blustack na kushindwa kuona majina ya namba nilizosave na sijajua shida ni nini ebu wakuu nisaidieni hapo maana nmejaribu kuimport naona nashindwa tu. naombeni msaada kwa wajuvi wa haya mambo wakuu.
Bluestacks ni emulator inayokiwezesha kutumia apps za android kwenye pc so unaweza install apksIngenuwa official whatsapp sawa tungejibu. ila sasa hizo modified whatsaap kila mmoja anakuja na mautundu yake