WhatsApp yarahisisha mfumo wa kuhifadhi nafasi katika simu yako

WhatsApp yarahisisha mfumo wa kuhifadhi nafasi katika simu yako

isajorsergio

Platinum Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
4,143
Reaction score
6,560
Mtandao wa kijamii na mawasiliano WhatsApp umefanya maboresho katika mfumo wa uhifadhi na nafasi 'Storage' kwa kurahisisha namna ya upatikanaji wa data/mafaili (Picha, Gifs, Video na Stika) zinazochukua nafasi kubwa katika simu yako. Zana hii itashuhudiwa kwa watumiaji wa WhatsApp duniani kote kabla ya kuisha kwa wiki hii inayoanza.

Mfumo mpya utakuwa ndani ya aplikesheni kwa kwenda Setting > Storage & Data > Manage Storage.

 
Back
Top Bottom