isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Mfumo wa kutafuta na upatikanaji wa mafaili yanayochukua nafasi katika simu yako.
Yamekuje sasa sioni tofauti apoMfumo wa kutafuta na upatikanaji wa mafaili yanayochukua nafasi katika simu yako.
Ingia Setting > Storage & Data > Manage Storage. Hapo awali ilikuwa hivyo? (Hapana) = Hayo ndio mabadiliko. (Ndiyo!) = Mabadiliko tayari au subiri kuyashuhudia.
Dah we jamaa hivi kwani leo tarehe ngapiIngia Setting > Storage & Data > Manage Storage. Hapo awali ilikuwa hivyo? (Hapana) = Hayo ndio mabadiliko. (Ndiyo!) = Mabadiliko tayari au subiri kuyashuhudia.
Tarehe 7 November 2020. Unaelewa ninacho zungumzia au umekosea thread?
Wakukosea niwe mieTarehe 7 November 2020. Unaelewa ninacho zungumzia au umekosea thread?
Umetizama video rasmi niliyoambatanisha kutoka WhatsApp?