WhatsApp

WhatsApp

Patroman

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
809
Reaction score
1,222
Nimejaribu nimeshindwa!...je inawezekana kuwa na akaunti za what's app zaidi mbili kwa line tofauti za simu kwenye simu moja?
 
Umejaribu wapi na umeshindwa wapi, tuambie kwanza kabla ya kukupa msaada.
 
Nimejaribu nimeshindwa!...je inawezekana kuwa na akaunti za what's app zaidi mbili kwa line tofauti za simu kwenye simu moja?
Inawezekana, kama unatumia simu za android ni rahisi sana, mfano kama unatumia samsung ina option ya dual messenger, inakuruhusu ku install whatsapp na social media nyingine mara mbili kwa namba mbili tofauti
Screenshot_20200125-135920_Dual Messenger.jpg


Screenshot_20200125-135929_One UI Home.jpg


Njia nyingine ni kutumia ni hizi modded version ambazo safety yake haijulikani.
Hizi gb whatsapp, fmwhatsapp, yowhatsapp zinakuwaga na version mbili mbili mfano com.wa na com.gbwa
Screenshot_20200125-140322_Chrome.jpg


Njia zingine wadau wataongezea
 
Back
Top Bottom