Inawezekana, kama unatumia simu za android ni rahisi sana, mfano kama unatumia samsung ina option ya dual messenger, inakuruhusu ku install whatsapp na social media nyingine mara mbili kwa namba mbili tofauti
Njia nyingine ni kutumia ni hizi modded version ambazo safety yake haijulikani.
Hizi gb whatsapp, fmwhatsapp, yowhatsapp zinakuwaga na version mbili mbili mfano com.wa na com.gbwa