Whatsp status ni yangu usinipangiee cha kupost

wazawa

Senior Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
184
Reaction score
58
Huyo uliompost ninani ndio mwanao., mke wako au demu wako.., gari ni yako hivoo mbona nzuri n.a. nyumba je ushahamiaa
Usiniuulizeee maswali n.a. usinipangiaa cha kupost
 
sipendi maswali ya kingese ngese. mi huwa nawajibu kwa maswali na mimi.
 
Kuna mtu humu huwa anakuuliza hayo maswali au unawashwa washwa.

Kama ni yako humu unakuja kupanuka panuka kisa nini?
 
Bongo jua kali unachati na mtu jf kumbe ubongo wake ulishayeyuka tangu 2016 kumbavu.
 
Post Baba post. Hata mkigegedana.
Whatsapp status ni yako 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…