Tetesi: Whatsup web inakazi gan

Tetesi: Whatsup web inakazi gan

EVATI

Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
18
Reaction score
8
habal wana JR napenda kuulza iv WHATSUP WEB inakaz gan
 
habal wana JR napenda kuulza iv WHATSUP WEB inakaz gan
Inakuwezesha ku-mirror simu yako kwenye computer Laptop au desktop.

Unafanyeje:
》Fungua site ya Whatsapp web kwenye URL yako. au unaweza download application ya whatsapp web kwenye PC yako!!

》Itatokea kitu kama QR codes, nenda kwenye simu ifuate hiyo whatsaap web itatokea kama QR code reader ielekezee kwenye computer yako ili iscan na kuisoma ile QR code kwenye PC....itavibrate kwamba simu na PC zimeonana then utaweza kusoma kila msg ya whatsapp kwenye simu yako.

》Enjoy.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamekuelewa japo ni ngumu kukaa kwenye computa na kuchat kwa kujinafasi kama ilivyo kwa simu ya mkononi.
 
Kwenye sim unafanyeje mkuu
Kwenye simu unapapasa bila kuhangaika na "keyboard" au "mouse" na isitoshe hata sehemu ya faragha unaweza kuchat bila bughudha. Ebu fikiria "laptop" kutembea nayo ili uitumie kuchat tu!
 
Back
Top Bottom