Wheather forecast in saudi arabia...

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
πŸ˜•Hizi ajira nyingine bana....

......hapa sijui wadau mnampata uzuri akielekeza maeneo yenye "miinuko" yatakayokuwa na mawingu, mvua za mtawanyiko wa wastani na ngurumu kiasi???...

Attachments

  • muslim-woman.jpg
    32.3 KB · Views: 1,314
Duh! hii kali. Hata joto la Bongo mtu unakuta yuko gubigubi na kitu cheusi! Imani ua ndo kumanuliwa huko?
 
huu ni wehu! basi asinge kaa mbele ya kamera, anafanya nini sasa hapo? dar mkubwa in elekea unawasaka kwelikweli hawa, nakumbuka ulituletea ya wale waliopiga picha ya pamoja. maendeleo wanayataka, na mawazo mgndo hawataki kuyaacha. πŸ˜•
 
Ohh naona watu mnatafuta fatwa na albadir humu..
 
πŸ˜•Hizi ajira nyingine bana....

......hapa sijui wadau mnampata uzuri akielekeza maeneo yenye "miinuko" yatakayokuwa na mawingu, mvua za mtawanyiko wa wastani na ngurumu kiasi???...

Ngoshwe,tusen takk.Er du i Norge?
 
πŸ˜•Hizi ajira nyingine bana....

......hapa sijui wadau mnampata uzuri akielekeza maeneo yenye "miinuko" yatakayokuwa na mawingu, mvua za mtawanyiko wa wastani na ngurumu kiasi???...

Hiki nini??πŸ˜•
 
Hey NO PUN intended.

Hivi kuna mtu ashawai waona hao maninja wakizikiri? Unaeza ukaota usiku yaani..aarghh inatisha.
 
the first picture is a joke... come on guys dont tell me u believe that... actually it is the guy on the picture not a woman...
 
πŸ˜•Hizi ajira nyingine bana....

......hapa sijui wadau mnampata uzuri akielekeza maeneo yenye "miinuko" yatakayokuwa na mawingu, mvua za mtawanyiko wa wastani na ngurumu kiasi???...

At least ungesema Afghanistan!!!??? maana hii ni "burqa" sio "hijab na nikaab" kama wanawake wa Saudi wanavyovaa. Au ndio cut and paste ili kutengeneza uongo tu dhidi ya waislmau kwa ujumla au wanawake waislamu in particular???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…