Vituo vya mafuta almost vyote vyenye huduma ya uzibaji pancha vinatoa huduma hii..Wakuu wapi naweza kupata huduma hii kwa gharama nafuu hapa Dar? Nipo ubungo.
Wakuu wapi naweza kupata huduma hii kwa gharama nafuu hapa Dar? Nipo ubungo.
Weka namba hapa umtangazie biashara..Nina jamaa yangu pale tabata bima, walinirekebishia gari yangu kwa elf 15 tu!
Kama unaweza fika pale, nipm nikupe namba yake!