Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chukua 60 niko serious
Hapana hajafariki ilikuwa kwa ajili ya mama yangu mzazi ,wakati namnunulia alipooza kum e dogo naye kaja ameshanunua anuza pharamancy !!Au hivyo vitu mwenyewe ameshafariki? Kwanini useme vipya wakati wewe huna duka la kuuzia hivyo vitu?
Tueleze vizuri tutoe pesa.!
Hahaha hivi vitu nilimnunulia mama mwaka jana , wakati nanunua mdogo wangu naye akawa amenunua alipokujaRafiki yangu baba yake alikutwa na kisukari. Alimnunulia BP monitor pamoja na BM monitor. Alimpa maelekezo akamwambia usingoje hali iwe mbaya.
Mzee aligeuka kuwa daktari wa kijiji. Kila anaeamka kichwa kinauma anataka apimwe PB. Mwisho rafiki yangu kila akipiga simu mzee hayupo nyumbani.
Aliniambia vile vipimo vinaweza kuvunja ndoa sasa.
Hapana hajafariki ilikuwa kwa ajili ya mama yangu mzazi ,wakati namnunulia alipooza kum e dogo naye kaja ameshanunua anuza pharamancy !!
Kwa hilo kuna wheal chair mbili nimpya kabisa hakuwahi kuikalia hata kidogo
Usimtabirie mama yangu mabaya plees kama hujui kitu ungeuliza...sio kuongea ili domo lionekane
sent from toyota Allex
Alitumia wheal chair ile nyingine ambayo dogo alikuja nayo maana ilikuwa nzuri zaidi ilikuwa na mashine ya kujitembeza yenyewe .....lkn hii niliyonunua mm hakuigusa kabisa katika kuitumiaHongera kwa ninyi mnaojali wazazi wenu hadi kununua wheel chairs bila kuambiana.Sisi wote ni chakula cha udongo iwe leo, kesho au hata baada ya miaka 100.Kikubwa ni kijiandaa kiroho kwa wote waaminiao.!
Umeandika alitumia kama mwezi mmoja,sehemu nyingine umeandika hakutumia kabisa which is which..??
Mpe pole mama yako,mwambie Yesu anampenda.!