balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,841
- 15,673
She ria za Tanzania hazitambui uwepo wa ubakaji kwenye ndoa.Consent is conceived at marriage once and(a) Mental state siyo akili ya Dola, bali inahusiana na hali ya kisaikolojia ya mtu wakati wa tukio, kama alikuwa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi au la. Katika kesi za ubakaji, inaweza kuzingatiwa kama mhusika alikuwa na hiari au alilazimishwa kwa njia yoyote.
(b) Kuhusu ndoa na ubakaji – Ndio, kama mke hataki na anasema hapana lakini unamlazimisha kwa nguvu, huo bado ni ubakaji hata kama ni mke wako. Ndoa haimaanishi kuwa mwenza hana haki ya kukataa tendo la ndoa. Katika mahusiano, consent (ridhaa) bado ni muhimu, hata kama mko ndani ya ndoa.
Mimi natamani sheria ibaki kama ilivyo.Kama binadamu,mke akiwa na changamoto lazima mme ajue na kama ana sound mind hawezi kulazimisha,ukiona kuna kulazimisha ajue kuna uhuni unapita hapo katikati.Watu wetu pia huku kwetu wana mambo ya kipuuzi haifai kuwapa nguvu ya kisheria kiasi hicho.Hili ni suala linaloibua mjadala mkubwa wa kisheria, kijamii, na kimaadili. Ingawa sheria za Tanzania kwa sasa hazitambui ubakaji ndani ya ndoa, mjadala wa haki za ndoa na ridhaa (consent) unaendelea duniani kote.
Katika jamii za kisasa, kuna mtazamo unaosisitiza kuwa ridhaa (consent) inapaswa kutolewa kila mara bila kujali hali ya ndoa. Hii ni kwa sababu ndoa haipaswi kumaanisha kuwa mmoja wa wanandoa hana haki ya kusema hapana.
Hili ni eneo lenye changamoto kisheria na kijamii, lakini linafaa kujadiliwa kwa kuzingatia haki za binadamu, utu, na heshima ya ndoa. Unadhani sheria inapaswa kubadilika ili kuakisi mabadiliko ya kijamii, au inapaswa kubaki ilivyo?
Daah! Bora umesema... maana kuna mafeminism wa kiume mishipa ya shingo imewakaza kweli kusema hiyo haiwezekaniWanakunywesha dawa za erection mazee mbona SA kawaida hiyo na wanakamatwa sana hao wanawake hatari wengine wanasambaza HIV..
No reforms No erectionKwani erection ni voluntary or an involuntary body action
Na je erection siku zote hutokea kwa sexual arousal tu au inaweza kutokea pasipo sexual desires...
Ngoja wanasheria waje kujibu
Sasa, asubuhi inavyo simama huwa unaituma isimame?Sio sahihi sana haswa ukizingatia zipo pia factors nyingine e.g. asubuhi ukiamka unaweza kujikuta una hio hali wakati hakuna hata pochi hapo.
Unashindwaje kuji-control wakati huku unatakiwa upeleke marejesho, mtoto akafukuzwa shule, wife (kama yupo) kaanzisha timbwili eti anataka vitenge vya Iddi au Pasaka na sasa jua lenyewe ndo hilo tena huko shambani ni sifuri?
Huku hizo kesi zipo za kutosha wanatafuta dawa ambayo hata wakiwa watano watamaliza haja yao mzigo ukiwa upo hewani..Daah! Bora umesema... maana kuna mafeminism wa kiume mishipa ya shingo imewakaza kweli kusema hiyo haiwezekani
Hapana. Ni ukorofi wake binafsi mm sihusiki lakini kwa kujitawala (self control) sikimbilii pochi eti ili kuidhibiti na wala sijichukulii sheria mkononi.Sasa, asubuhi inavyo simama huwa unaituma isimame?
Though there are incidences under which a man may be deemed to have been raped e.g. where a woman is in power over the man and unfairly uses her position /power to induce/obtain consent of a man.... unfortunately, the definition of rape in Tanzanian context implies that only a man can rape.I am not very fluent in Kiswahili that's why I use English to write this thread. Lawyers or any other person with the knowledge about this matter are welcomed to share with us. Being a man is not easy.
Sisi wa Kayumba Day tucoment wapi mamaI am not very fluent in Kiswahili that's why I use English to write this thread. Lawyers or any other person with the knowledge about this matter are welcomed to share with us. Being a man is not easy.
Sawa... unasema hivyo kwakuwa haijakukutaHapana. Ni ukorofi wake binafsi mm sihusiki lakini kwa kujitawala (self control) sikimbilii pochi eti ili kuidhibiti na wala sijichukulii sheria mkononi.
Na wala haitokaa inikute. Nina msimamo thabiti. Kama ni NO bas ni No kweli. Sirembi-rembi.Sawa... unasema hivyo kwakuwa haijakukuta
I am not fluent in Kiswahili.Sisi wa Kayumba Day tucoment wapi mama