When a man loves a woman

When a man loves a woman

Pabloz

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2020
Posts
1,818
Reaction score
9,332
When a man loves a woman
He can't keep his mind on nothing else
He'll trade the world
For the good thing he's found
If she is bad he can't see it
She can do no wrong...

E-vn4dGXEAAQYER.jpg
 
Ni sahihi mkuu, ila sio kwa wanawake wa kizazi hiki! 😅 Nikabebe masimenti kuitafta elfu 20 yangu halafu niende kumnunulia malaya viatu kirahisi tu hivyo!

Labda awe amenizalia watoto naishi nae kama wife.
 
Ni sahihi mkuu, ila sio kwa wanawake wa kizazi hiki! [emoji28] Nikabebe masimenti kuitafta elfu 20 yangu halafu niende kumnunulia malaya viatu kirahisi tu hivyo!

Labda awe amenizalia watoto naishi nae kama wife.
Wanaobeba cement wanafanya hayo
 
Mkuu, mtajwa hapo juu anaweza kuwa mama wa wanao?😅
Akiwa mama wa wanangu ni mzazi mwenzangu huyo namfanyia chochote hata ikibidi kuwa hamza wana usalama popote walipo ili tu yeye apate kufurahi😅
 
Back
Top Bottom