When boy introducing his girlfrend to his boys


Kuamini maneno ya mashemeji inahitaji ujifanye chizi
 
Kwa kweli mashemeji ni koyooo sanaa
 
Wanawake tuna asili ya kuoneana wivu, kwahiyo ni nadra sana kufichiana mabaya, ndo Kwanzaa watayaanika ili umuache wamcheke,,
Umuache wamcheke au umuache uwachukue wao. Maana ninyi mda mwingne akili zenu mnazijua wenyewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…