When death becomes the most awaited paratrooper

When death becomes the most awaited paratrooper

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
5,566
Reaction score
5,477
THE PICTURE IS BECOMING MORE CLEAR, 'hakuna mchelemchele tena', THAT:

The Corona, COVID-19, scare is the most awaited PARATROOPER on the incumbents' camp and they're using every trick in the book to keep the scare around for a long time to delay the campaigns and, most definitely, allow them in the eleventh hour and, thus, win an easy victory!

BUT WHAT SCARES ME, ALAS!, IS THE COST! ☠

MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!

🤡🤡🤡🤡🤡
👊 ✌✌✌💥
 
ACHA LONGOLONGO! 🤭
.... lakini, kwa kifupi, NI kwamba chama twawala kinajitahidi Sana, hii inaonekana wazi, kurefusha kizaazaa Cha Corona ili kuvinyima fursa vyama vingine kupata muda wa kutosha wa kampeni na hivyo kushinda, kwa kishindo, kirahisirahisi!
NB: ...wao
wamefanya kampeni kwa miaka mitano mfululizo! 😅

Hii koona sio ya mchezo mchezo.
 
THE PICTURE IS BECOMING MORE CLEAR, 'hakuna mchelemchele tena', THAT:

... the Corona scare is the most awaited PARATROOPER on the incumbents' camp, and they're using every trick in the book to keep the scare around to delay the campaigns and, most definitely, allow them in the eleventh hour and, thus, win an easy victory!

MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!
🤡🤡🤡🤡🤡
👊 ✌️✌️✌️💥
Naishukuru JF kwa kuweka kishereheshi chekundu cha Tanzia
 
Kama vile umeona mbali, maana siku ya kwanza tunaambiwa Corona imeingia Tz ilikuwa ni baada ya Mbowe kutangaza CDM wataanza mikutano ya hadhara; but hata wakijaribu kufanya hivyo, bado hali ya CCM ni mbaya tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ACHA LONGOLONGO! [emoji2960]
.... lakini, kwa kifupi, NI kwamba chama twawala kinajitahidi Sana, hii inaonekana wazi, kurefusha kizaazaa Cha Corona ili kuvinyima fursa vyama vingine kupata muda wa kutosha wa kampeni na hivyo kushinda, kwa kishindo, kirahisirahisi!
NB: ...wao
wamefanya kampeni kwa miaka mitano mfululizo! [emoji28]
Vyama vitashinda uchaguzi kwa mikakati siyo kwa kutegemea propaganda za akina mange na kigogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha utoto we we,
Utoto kwa vipi...jina lake ni jenerali na siyo general....Sasa utoto wangu unakujsje hapa..Mimi nawaalimishe kuhusu jina lake halali na nyie mmekalia ubishi tu...
 
Utoto kwa vipi...jina lake ni jenerali na siyo general....Sasa utoto wangu unakujsje hapa..Mimi nawaalimishe kuhusu jina lake halali na nyie mmekalia ubishi tu...
Sio unakujsje = unahusikaje hapa na
Sio nawaalimishe= nawaelimisha
 
Back
Top Bottom