Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
ACHA LONGOLONGO! π€
.... lakini, kwa kifupi, NI kwamba chama twawala kinajitahidi Sana, hii inaonekana wazi, kurefusha kizaazaa Cha Corona ili kuvinyima fursa vyama vingine kupata muda wa kutosha wa kampeni na hivyo kushinda, kwa kishindo, kirahisirahisi!
NB: ...wao wamefanya kampeni kwa miaka mitano mfululizo! π
Tuko nyuma yenu maendeleo Ni yetu soteWasukuma tunaweza, bila ata kuwezeshwa!
π€‘π€‘π€‘π€‘π€‘β£
Naishukuru JF kwa kuweka kishereheshi chekundu cha TanziaTHE PICTURE IS BECOMING MORE CLEAR, 'hakuna mchelemchele tena', THAT:
... the Corona scare is the most awaited PARATROOPER on the incumbents' camp, and they're using every trick in the book to keep the scare around to delay the campaigns and, most definitely, allow them in the eleventh hour and, thus, win an easy victory!
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!
π€‘π€‘π€‘π€‘π€‘
π βοΈβοΈβοΈπ₯
Vyama vitashinda uchaguzi kwa mikakati siyo kwa kutegemea propaganda za akina mange na kigogoACHA LONGOLONGO! [emoji2960]
.... lakini, kwa kifupi, NI kwamba chama twawala kinajitahidi Sana, hii inaonekana wazi, kurefusha kizaazaa Cha Corona ili kuvinyima fursa vyama vingine kupata muda wa kutosha wa kampeni na hivyo kushinda, kwa kishindo, kirahisirahisi!
NB: ...wao wamefanya kampeni kwa miaka mitano mfululizo! [emoji28]
Naishukuru JF kwa kuweka kishereheshi chekundu cha Tanzia
Jenerali ....siyo generalTitle yako nzuri, nilijua generali ulimwengu kumbe wewe
Acha utoto we we,Jenerali ....siyo general
Utoto kwa vipi...jina lake ni jenerali na siyo general....Sasa utoto wangu unakujsje hapa..Mimi nawaalimishe kuhusu jina lake halali na nyie mmekalia ubishi tu...Acha utoto we we,
Sio unakujsje = unahusikaje hapa naUtoto kwa vipi...jina lake ni jenerali na siyo general....Sasa utoto wangu unakujsje hapa..Mimi nawaalimishe kuhusu jina lake halali na nyie mmekalia ubishi tu...
Kumbe tuko pamoja...Safi sanaSio unakujsje = unahusikaje hapa na
Sio nawaalimishe= nawaelimisha