When Kenya runs away from UN resolution, it’s time to assess the quality of our leadership

You have said it all, actually Tanzania is very unlucky to be surrounded by these countries, Magufuli I think is making mistakes to concentrate with EAC, we better concentrate with SADC.
 
Anajua kila kitu, anajaribu kuficha aibu ili kupunguza shutuma dhidi ya Kenya, ukifuatilia maoni ya wakenya wengi katika mitandao na forum mbalimbali wanapinga uamuzi huu wa Kenya, wengi wa wasomi wa Kenya wanasema uamuzi wa Kenya umetokana na ukweli kwamba Kenya isingeweza kuipinga Israel kwa sababu Netanyau amekua na ukaribu sana na serikali ya Kenya, ametembelea Kenya mara mbili ndani ya mwaka huu, pia Kenya inaogopa sana kuikasirisha Marekani, hizi blaah..blaah za huyu ni za kupuuzwa
 
I hate Israel like shit, especially venye wanatreat Palestinians
 
For one country? It is for the Arab world.
 
Kenya is giving some people sleepless nights. Biggest and most vibrant economy in East Africa. We are not going anywhere soon. We are here to stay, watch us soar higher at the same rate as all your blood pressure. Viva Kenya!
 
.
I see you there tip toeing!
 
Urafiki wa Uhuru na Netanyau una anza kuonyesha madhara, lakini tukirudi nyuma utaona Wakenya wameshasahau jinsi Waingereza walivyowafanya unyama kama huu wa Israeli anavyo wafanyia Palestina. Kunyanganya ardhi, kufunga watu kisiasa, kuuwa watu kwa halaiki ...yote haya wenzetu wameyasahau. Leo hii wanakwenda kucheka na yule yule mkadamizaji huku wanasema personal interest, really ????
 
Never trust Kenyans, hau mbele ya maslai yao wapo tayari kuolewa na wanaume wenzao.
 
Sio kila Mkenya anasupport hii upuuzi. Don't generalize. Waafrika tusisahau tulikotoka. Wazungu walituny'ang'anya shamba
yetu huku wengine wetu tuko mbioni kusuport nchi inayotesa na kunyakua shamba ya wengine. Dunia gani hii tunayoishi?
 
Yes, Kenya ina akili you do not do something simply because others are doing it lazima uwe selfish kwanza na kuangalia maslahi yetu. Sasa nyie mlikomboa SA kama mnavyo tuimbia hapa kila siku, je mbona SA haiwatupii hata misaada ama kumkwamua toka umasikini wa LDC status?
 
You have a choice to simply isolate yourself or join SADC. Do not blame others for your poor status. Does Kenya run your economy?
 
Faida tuliyopata hatuna njaa kana ninyi wala hatulali kwenye mabanda ya nguruwe kana ninyi
 
You have said it all, actually Tanzania is very unlucky to be surrounded by these countries, Magufuli I think is making mistakes to concentrate with EAC, we better concentrate with SADC.
They once supported apartheid so no suprise at all kwa decision yao ya sasa
Go to SADC maybe your prosperity lies there mambo ya kuyumba yumba haitawasaidia hata kidogo, njia mbili zilimshinda fisi.
 
Faida tuliyopata hatuna njaa kana ninyi wala hatulali kwenye mabanda ya nguruwe kana ninyi

Nyie mnalala kwa nyumba za kifahari mbona mko kwenye list ya LDC? Mbona 80% mnajisaidia/kunya kwenye streets na vichaka huku mkiwa na nyumba nzuri kuliko zile za nguruwe huku Kenya?
 
Nyie mnalala kwa nyumba za kifahari mbona mko kwenye list ya LDC? Mbona 80% mnajisaidia/kunya kwenye streets na vichaka huku mkiwa na nyumba nzuri kuliko zile za nguruwe huku Kenya?
Povuuu
 
You have a choice to simply isolate yourself or join SADC. Do not blame others for your poor status. Does Kenya run your economy?
Nope. But it'd be way better if we had civilized neighbors.
Plus your economy and your HDI is almost the same as Tanzania's. We have a higher GDP PPP than any country in East Africa.
But stick to the point and admit that you guys have been giving dome for a while now .... Toothless dome.
 
Almost is not the same as equal.
 
Aiseee uzi umejaaa povu tuuu, mpalestina apambane na hali yake tu maana akiachiwa ataanza kujilipua lipua tu mwishowe israel igeuke somalia, if there is anything the jews learnt from the holocaust its, everyone fights for his own survival!. Anyway watatue mambo yao, ss tutaendelea kutafuta rizki kote kote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…