When Kenyan media feels jealous after A380-800 landed in Dar instead of Nrb on a maiden trip to EA

When Kenyan media feels jealous after A380-800 landed in Dar instead of Nrb on a maiden trip to EA

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917

Airport staff thrilled after Emirates Airbus makes maiden landing in Tanzania

Apr. 25, 2018, 6:00 pm
By RHODA ODHIAMBO @odhiamborhoda
FACEBOOK
  • EMAIL

1749696.jpg

Staff look at an Emirates Airbus A380 which landed in Tanzania following heavy rains on Tuesday, April 24, 2018. /TWITTER

Tanzania airport staff were treated to a rare incident after an Emirates Airbus A380 was forced to land in Dar es Salaam due to bad weather on Tuesday.

This was the first time an aircraft of that size landed on Tanzanian soil.

Flight EK 701 was en-route Mauritius from Dubai with more than 400 passengers, including the crew member, on board.

The passengers spent the night in Tanzania before proceeding with their journey to Mauritius today.

A passenger tweeted said that the airport staff at the Julius Nyerere Airport were amazed at the size of the aircraft.

"Crazy day. Couldn’t land at Mauritius due to storm so flew three hours to Dar-es-Salaam. We are the first A380 ever to land here. Ground crew taking pictures but have no idea how to get us off the plane."

Officials from the Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) confirmed that the Airbus 380 was the largest aircraft to land in Tanzania.

Airport staff thrilled after Emirates Airbus makes maiden landing in Tanzania
 
sasa ni kipi cha kuwa jealous hapa...yaani ndege kutua tu kwenye runway? duh! miafrika bado tuna kazi....fikiria mtu ana jivunia emergency landing...maajabu ya musa haya...kisha tunashangazwa na wazungu wanapotudharau ila tabia zetu hizi hapa za kutia aibu🙁leo tunajivunia ukuta kesho emergency landing...duh!!!
 
We nyangay Acha wivu mungu yupo upande wetu juzi mlisema ndege ya aina hiyo aiwezi tua tz tena wote mkawa nyuma ya injinia feki wa kikenya mkitoa maesabu uchwara ya kiandisi Mara paaaa!!!!! Dege ilo limetua dar kweli mungu si nyangau
Hata yule injinia wa kibera atumuoni tena jf kajificha kibera anatumia uinjinia wake kukarabati vibanda vya kibera
 
mbona kenya airways inatua kote duniani??...yaani mtu mwenye akili punguani tu ndiye anaweza kushangilia upumbavu kama huu..tabia za ki LDC hizi....mi sioni jambo la kusikia wivu...emirates flights kwa ni ni za dhahabu au? kutua kwake kunamsaidia kivipi mtz au nchi kwa ujumla????? maswali yanayonikumba ni haya...ukijibu bila ujinga wa matusi ya peni mbili, nakuheshimu...fikiria mwarika kusini anashangilia kisa flight ya emirates imetua OR Tambo au mchina anasherehekea kisa ukuta umejengwa..hahaha...si watamwona mwendawazimu huyo? nyie huwa mnajishusha hadhi saa zingine...sometimes jiheshimuni ndio mheshimiwe angalau
 
mbona kenya airways inatua kpte duniani??...yaani mtu mwenye akili punguani tu ndiye anaweza kushangilia upumbavu kama huu...mi sioni jambo la kusikia wivu...emirates flights kwa ni ni za dhahabu au? kutua kwake kumemsaidia kivipi mtz au nchi kwa ujumla????? maswali yanayonikumba ni haya...ukijibu bila ujinga wa matusi ya peni mbili, nakuheshimu...
Wapumbavu ni nyinyi wakenya maana majuzi mlijidai mainjinia mkajalibu kutupotosha kuwa ndege kama hiyo aiwezi tua jnia tuitie yule injinia wenu wa kibera please [emoji120] [emoji120]
Tuliwaambieni nyinyi wakenya ndiyo mnapata elimu sahihi kupitia jf kutoka Kwa watz mkabisha sasa ona hii ya ndege imedhihilisha umbumbumbu wenu
 
najua kinacho wasumbua nyinyi washamba wa dunia....hii hapa chini
africa-un-jpg.502507

ndege ilitua kisa hali ya anga ila nyie washamba mnathan ni neema toka sijui mbinguni...ama kweli umaskini ni ugonjwa😀😀😀...miafrika tuna kazi sana...si jambo la kushangaza tunadharauliwa kila uchao...wakati wengine wapo wanajenga mambo ya msingi sie tupo tunasherehekea emergency landing na ukuta😀😀😀
its only in tz where a plane landing on an airport inaitwa maendeleo ya kuwafanya wengine waskie wivu...nyie mna akili timamu kweli?😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom