Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
HAYA SASA, JUVE NDIO HAOOOOOO. KAZI KWAKO SASA GANG CHOMBA. FForza juventus.
Juventus-Napoli 2-0 (Caceres, Pogba)
Dedicato a tutti voi per cui la Juventus è stata... il primo amore!
Mkuu Gang Chomba scoreboard inasoma hivyo hahaha raha sana kuwa mshabiki wa Juve! Chelsea na Yanga hahahahh
mkuu Gang chomba mambo yote yako kwa the bianconery Juventus! Hii timu naizimia sana! Unamkumbuka gianluca vialli, pablo nedved, nicola amoruso, zinedine zidane, sasa hivi tupo on top tunagawa vipigo balaa, forza juve!
hahaha naona umempa na risiti kabisa!MK thread hiyo nimeiandika nikiwa katika barabara ya Turati mjini Milan.
We kaa hivyohivyo tu
hawa ajuza wa turin kilichobakia ni kuvunja rekodi ya unbeaten ya ac milan 58 games ktk serie a,wapo 53 nadhani mpaka sasa unbeaten hao juve, then al ahly ya misri 59 games ktk ligi yao misriJuventus-Napoli 2-0 (Caceres, Pogba)
Dedicato a tutti voi per cui la Juventus è stata... il primo amore!
Mkuu Gang Chomba scoreboard inasoma hivyo hahaha raha sana kuwa mshabiki wa Juve! Chelsea na Yanga hahahahh
hawa ajuza wa turin kilichobakia ni kuvunja rekodi ya unbeaten ya ac milan 58 games ktk serie a,wapo 53 nadhani mpaka sasa unbeaten hao juve, then al ahly ya misri 59 games ktk ligi yao misri
Kwa mujibu wa Sports Xtra Juve wako 47 unbeaten.
what position are ac milan in their league? and they were beaten easily by lazio over the weekend...its the beginning of the end for ac milan just like it was for liverpool...
MK thread hiyo nimeiandika nikiwa katika barabara ya Turati mjini Milan.
We kaa hivyohivyo tu
Na Milan wana rekodi ya Unbeaten game ngapi?
Basi tuliza kiuno chini...
Tulia Bi. Maurizio Di Viaio, wa Parlemo, Sicilia.
Kwa hiyo kama sifahamu rekodi ya Milan ndio nisikutajie ya Alpines? Utakuwa na mimba changa wewe, hakyanani!
Milan is one of the most successful clubs in the
world with 7 UEFA Champions league titles, making
it the second most successful in Europe in terms of
UEFA Champions trophies and 19 Serie A titles
making them the second most successful club in
Italy. On top of this they, among other clubs like Barcelona and Manchester United, are well known
in developing soccer nations like the United States The most internationally-decorated football club in
the world, Milan's is without doubt the best. Its
1989 team was voted the best club side to ever
play the game by a poll of experts conducted by
World Soccer magazine. It has had lots of the
world's biggest football legends play for it, including Van Basten, Rijkaard, Altafini, Weah,
Baresi, Maldini, Baggio, Ronaldo, Mtakatifu Ronaldinho, Kaka,
Crespo, Inzaghi, Ibrahimovic, Nesta, Pirlo and many
many others ambao kama nikiwaorodhesha hapa basi inaweza kuchukua page zaidi ya 10.
Nguvu hii ingetumika kwenye klabu zenu za nyumbani tungekuwa mbali sana.
Mtu anavyoipenda Milan utafikiri kazaliwa huko Palermo sijui Piacenza? Kumbe wa Maneromango kwa Mlimia Dole...
Ha ha ha mkuu umeuwa, bora hata angewahi kufika hapo mjini milan kununua moka na suti.. Lakin hamna kitu hawa ndo tunawaita MASHABIKI MAANDAZI