Profesa JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 905 Reaction score 624 Jun 12, 2012 #1 Eti ile comercial ya mafuta ya kupikia ya Kimbo wanadai haina cholesteral lakini chakula kinachoonyeshwa kinapikia ni red meat wapi na wapi? Msitudanganye.
Eti ile comercial ya mafuta ya kupikia ya Kimbo wanadai haina cholesteral lakini chakula kinachoonyeshwa kinapikia ni red meat wapi na wapi? Msitudanganye.