..when ur ex is Getting Married!

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
...........ikaingia sms ambayo nimeisave jina la dada yangu...naifahamu iyo namba ni ya x wangu ambae ndie hasa mwanamke wangu wa kwanza..kwamba anaolewa..

huyu binti nilimpata kipindi nimemaliza kidato cha 4 (nlijitunzajee!) ...tulipendana sana..na ndie niliebahatika kuw amwanaume wake wa kwanza.....tulidumu nae sana hadi namaliza likizo ndefu ya mkapa to chuo....sijui nn kilitokea mawasiliano yakapungua hadi kuishia kuachana lakini bila ugomvi.........ila kila tulipoonana tena TULIKUMBUSHIA...:tape2:

amefanyiwa sendoff wiki kadhaa zilizopita na arusi ni mwezi ujao.mbaya zaidi anakuja kuishi mkoa ninao ishi.mwanzoni alikua mkoa mwingine..huyu binti huwa tukionana nguvu zinatuishiaga....tunapendana sana na hataki kunisahau though anajua am comited somewhere...............am just wondering what will happen; nakadi ya arusi ananiletea PHYSICALLY NYUMBAN next week I!!....nitauwawa jamaniii!!...
 

Na hapo ndio ninapoona kuna kikwazo cha mimi kuoa,..kila nikifikiri huu upuuzi wa baadhi ya wanawake kuhusu ma_ex wao..napata kigugumizi cha kuingia kwenye ndoa,........anyway bado nafikiria...maake nilivyo na hasira na mambo ya kuwa_cheated_sijui..!
 
Kitachokuua ni kipi sasa? kama ulimpenda kwa nini ulikubali kumpoteza hapo awali
 
Na hapo ndio ninapoona kuna kikwazo cha mimi kuoa,..kila nikifikiri huu upuuzi wa baadhi ya wanawake kuhusu ma_ex wao..napata kigugumizi cha kuingia kwenye ndoa,........anyway bado nafikiria...maake nilivyo na hasira na mambo ya kuwa_cheated_sijui..!
IGWE usipate kikwazo cha kuoa sio wote wapo hivyo omba unaweza pata ambaye sio cheater.....bila kusahau nawe usiwe hivyo
 
Last edited by a moderator:


hapo kwenye red mmmmmmhhh halafu ikawaje
 
sisy AshaDii mzima weye...... bado wanapenda tena wakionana nguvu zinawaishiaga na miguu inatetemeka loo walimwengu wana mambo

Mzima kabisa dear... Wewe?

Sasa hapa kilichonishangaza ni kuwa ni Ex wake wa form 4, nachukulia ni zaidi ya miaka 7-10 iliyopita. Nachelea kujiuliza kuwa hajawahi kuwa na wengine? je wengekuwa wameoana? au ndio wale hawaachanagi wanakumbushia mara moja moja? But sababu kasema ni wa kwanza hapo naona ni understandable... Ila wanaume wengi sana wanapenda uwe chini daima akikuacha... lol
 
Kama vipi tuanzishe harambee ya rambi rambi
Achague na sanda kabisa

afu napenda jeneza la Silver na msiweke kwenye pik-up sjui lory...na kaburi msiweke tiles za china zinateleza sana...........kwi kwi kwi
 
nini kupenda.........tunapendana na kila mmoja married huko anakokujua!! uzuri siku izi no wivu tena..iyo ndo mbaya zaidi


sasa mkonowapaka kama wivu hamna hii thread ingeletwa hapa kweli? kuwa mkweli sio dhambi kupenda... Kama hutajali ukajibuu baadhi ya curiosity zangu hapo juu nitashukuru.
 

mie mzima sana mpendwa mkonowapaka kubali mlishaachana cha muhimu jiweke mbali na huyo dada kuepusha matatizo utakayokujapata baadae vinginevyo Kongosho aendele kukusanya mchango kwa ajili ya kupigwa bomba!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…