hahaha! Na kupiga hesabu akileta hio card a respond vipi.
mie mzima sana mpendwa mkonowapaka kubali mlishaachana cha muhimu jiweke mbali na huyo dada kuepusha matatizo utakayokujapata baadae vinginevyo Kongosho aendele kukusanya mchango kwa ajili ya kupigwa bomba!!!!!!
afu napenda jeneza la Silver na msiweke kwenye pik-up sjui lory...na kaburi msiweke tiles za china zinateleza sana...........kwi kwi kwi
Mie nawakumbusha tu wahahakikishe kitanda kiko imara
VInginevyo, nawatakia 'good lucky kwenye kuleta kadi ya muagano'
mkonowapaka umesoma post hii hapa juu? zingatia ama yale aliyosema Blaki Womani yasijekukuta...Hebu fikiria mtu ndio anajiandaa kuweka ndani
Afu yeye anapanga kufanya "uletaji kadi mwema"???
Jamani mke mtamu, na anauma mno
Bora wanamme aisee
Ujue mtu akikuchoma bahati mbaya kwenye sikio, utamsamehe, maana nalo liko nje nje tu linapepea kama bendera.
Lakini mtu akukuchoma kwenye koromeo ndani yamdomo ujue ni dharau sana??
Yaani kakuachamisha hadi mdomo??
King'asti naomba bInduki yangu, kila nikiwaza hasira zinanipanda kwa mke wangu
Hahahaaah! Mkuu tutafanyaje ndugu yangu, tuingie tu hivyohivyo.Na hapo ndio ninapoona kuna kikwazo cha mimi kuoa,..kila nikifikiri huu upuuzi wa baadhi ya wanawake kuhusu ma_ex wao..napata kigugumizi cha kuingia kwenye ndoa,........anyway bado nafikiria...maake nilivyo na hasira na mambo ya kuwa_cheated_sijui..!
Hebu fikiria mtu ndio anajiandaa kuweka ndani
Afu yeye anapanga kufanya "uletaji kadi mwema"???
Jamani mke mtamu, na anauma mno
Bora wanamme aisee
Ujue mtu akikuchoma bahati mbaya kwenye sikio, utamsamehe, maana nalo liko nje nje tu linapepea kama bendera.
Lakini mtu akukuchoma kwenye koromeo ndani yamdomo ujue ni dharau sana??
Yaani kakuachamisha hadi mdomo??
King'asti naomba bInduki yangu, kila nikiwaza hasira zinanipanda kwa mke wangu
kwani hao wanawake wanajikumbushia wenyewe? si na hao hao wanaume ambao tena wameshakuwa komitedi sehemu nyingine?Na hapo ndio ninapoona kuna kikwazo cha mimi kuoa,..kila nikifikiri huu upuuzi wa baadhi ya wanawake kuhusu ma_ex wao..napata kigugumizi cha kuingia kwenye ndoa,........anyway bado nafikiria...maake nilivyo na hasira na mambo ya kuwa_cheated_sijui..!
Kongosho nani kasema mume haumi?Hebu fikiria mtu ndio anajiandaa kuweka ndani
Afu yeye anapanga kufanya "uletaji kadi mwema"???
Jamani mke mtamu, na anauma mno
Bora wanamme aisee
Ujue mtu akikuchoma bahati mbaya kwenye sikio, utamsamehe, maana nalo liko nje nje tu linapepea kama bendera.
Lakini mtu akukuchoma kwenye koromeo ndani yamdomo ujue ni dharau sana??
Yaani kakuachamisha hadi mdomo??
King'asti naomba bInduki yangu, kila nikiwaza hasira zinanipanda kwa mke wangu
kumbuka na huyo mkonowapaka naye kaoa, naye mkewe atajisikiaje?Hapa inaonyesha hata akiolewa mkikutana mtachapana tu!Duh nazidi kupata sababu za kujisikia fahari na ubachela wangu,sasa jamani naoa kweli hawa mabinti wa ukubwani kumbe kuna wakina Mkonowapaka huku pembeni wanakamua pia! Stress hizi za nini. Long live ubachela.
Kama vipi tuanzishe harambee ya rambi rambi
Achague na sanda kabisa
kwani hao wanawake wanajikumbushia wenyewe? si na hao hao wanaume ambao tena wameshakuwa komitedi sehemu nyingine?
Hebu fikiria mtu ndio anajiandaa kuweka ndani
Afu yeye anapanga kufanya "uletaji kadi mwema"???
Jamani mke mtamu, na anauma mno
Bora wanamme aisee
Ujue mtu akikuchoma bahati mbaya kwenye sikio, utamsamehe, maana nalo liko nje nje tu linapepea kama bendera.
Lakini mtu akukuchoma kwenye koromeo ndani yamdomo ujue ni dharau sana??
Yaani kakuachamisha hadi mdomo??
King'asti naomba bInduki yangu, kila nikiwaza hasira zinanipanda kwa mke wangu
we Kongosho sababu leo ni mwanaume ndo maana unasema hivyo, subiri siku utakayokuwa mwanamke kama hujasema mume anauma zaidi, lolHata mme anauma sana, si hata sikio ni mwili
Ila mke, anauma sana afu ni zarau sana
sijaelewa apo juu.......bora wanamme kivp.........niondolee utata mapema...
we Kongosho sababu leo ni mwanaume ndo maana unasema hivyo, subiri siku utakayokuwa mwanamke kama hujasema mume anauma zaidi, lol
na hapo ndio ninapoona kuna kikwazo cha mimi kuoa,..kila nikifikiri huu upuuzi wa baadhi ya wanawake kuhusu ma_ex wao..napata kigugumizi cha kuingia kwenye ndoa,........anyway bado nafikiria...maake nilivyo na hasira na mambo ya kuwa_cheated_sijui..!
it is precisely for the reason why u shuld enter marriage knowing full well utapitiwa mbavuni. sasa wewe wala usijali akikupa K wewe enjoy tuu. watu wenyewe siku hizi wanaingia kwenye ndoa kutoa mkosi tuu hamna lolote. hit that badly!!!
Kitachokuua ni kipi sasa? kama ulimpenda kwa nini ulikubali kumpoteza hapo awali