..when ur ex is Getting Married!

Kama unampenda utamlinda..Kumlinda kwake ni kujitahidi kujiweka mbali naye na usiruhusu hisia zenu za kingono.. Aise jitahidi sana kuwa na hekima na busara zote kwenye hili. Imagine angekuwa mke wako mtarajiwa watuwanajilia tu tena mpaka siku ya harusi...watu wengine hamna huruma kabisa.
 
I never entertain or looking my back is illegal .what a cursed moment ?
 


Hiyo vita hutakaa uishinde....Bora ujisalimishe mapema mdogo wangu!!


Wezi ni watu na wanaoibiwa ni watu pia....Wewe ungependa uwe nani kati ya hao......Kumbuka, huna choice zaidi ya kuwa ama upande mmoja au zote!!

Babu DC!!
 


Kila la heri mkuu mkonowapaka,

Jambo la muhimu kukumbuka ni kwamba mwosha naye siku moja ataoshwa tu.....!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

We endelea kujifanya staff siku ukutane ni chombo ya wagiriki naamini ushachagua upande. Safari njema mkuu
 
mbona jambo la kawaida tu skuizi, mana watu skuizi wana ma ex zaidi ya mia sasa! ata ule uthamani wa neno ex flani ulishapotea kabisa, zamani ex ex kweli unakuwa bado unafil kutokuwepo kwake na kunapindi mnakumbukana kweli, skuizi haku ma ex bana, watu mmejua ndani ya wiki mnabanduana mnaachana afu mnaesabiana ma ex
 
Sawa mkuu_ila wengine hatupendi kuhesabiwa talaka ngapi tumewahi kutoa,...maake du_sijui!

Tena wewe ndo hutatoa hata talaka moja,

Hivi unajua kuwa hakuna kitu kigumu kama talaka??

Kuna dogo wangu, mke wake anapigiwa simu na mzinzi mwenzake hata saa 6 usiku...Juzi kaja kwenye familia, watu wakamshauri aanze upya maisha yake..Alikubali vizuri tu utadhani ni dume mwenye akili. Akaamua kumrudisha mke kwao. Haikupita hata week 2, nasikia kesharudisha mke wake eti anampenda sana kiasi kwamba hataki kuona watoto wake wanaishi bila mama yao!!

Unacheza na talaka wewe?? Ni rahisi sana kuandika na kutamka hayo maneno kwa watu wengine...Ila asikwambie mtu kwamba rusha vitendo hapa....!

Ngoja niishie hapa.

Dunia imekuwa hivyo toka imeumbwa na hakuna jipya!

Babu DC!!
 
wewe uliona wa nini,mwanaume mwenzio kaona anamfaa kuwa mkewe,achana na dada wa watu unataka kumvurugia ndoa yake,HUMPENDI HATA KIDOGO!na huyo mdada kama bado hajajijua thamani yake kwako ni wa kuchezewa sio wa kuolewa namsikitikia!

haya mambo ni zaidi ya unachokizungumza hapa..........mapenzi yana siri nzito sana hasa y akweli.....tunawish tuongeoana ila haikuwezekana....nimejaribu kumkwepa sn lakini haikusaidia.......ila nitadeal nalo kiume wala hainisumbui.....ila wanawake wana mioyo ya ajabu sn..mimi naweza sahau haraka ila mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana...........nilimhandle with extra care na extra real love ya ajabu isiyo na uchakachuaji........
 
Hivi kumbe huwa anaamua ku-switch on and off??

Babu DC!!
babu DC huyu mjukuu wako Kongosho mpaka sasa sijawahi kumwelewa. akiamua kuwa mdada anakuwa mdada kweli, yaani post zake za kidada ukisoma huwezi kuacha kuamini kuwa ni mdada. na siku akiwa mkaka hali kadhalika. sijui anawezaje? mimi ningekamatwa siku ya 2 tu
 
Last edited by a moderator:
Hongera zake!! Unajua nini FP, siyo kila mtu anaweza kuwa msanii ingawa wengi tunapenda sana! Pia si kila kitu ni cha kuiga. Hivi wewe umeshakutana na usumbufu wa hawa Ma-Ex? Ni watu hatari sana!!
 
Hongera zake!! Unajua nini FP, siyo kila mtu anaweza kuwa msanii ingawa wengi tunapenda sana! Pia si kila kitu ni cha kuiga. Hivi wewe umeshakutana na usumbufu wa hawa Ma-Ex? Ni watu hatari sana!!
uzuri wangu ex ni ex, hata aje na sura gani.
Ni kweli wanasumbua sana, lakini la maana tu ni kumfanya ajue kuwa yye ni ex, there is no way akarudi. kama ni urafiki tu haijalishi (na hili nalijua sana) ila mambo mengine NO
 

ahahahahahahahaaaaaaaaa_najijijua,dunia inanijua na hata miti inanijua,....anyway bado sijaoa
 
uzuri wangu ex ni ex, hata aje na sura gani.
Ni kweli wanasumbua sana, lakini la maana tu ni kumfanya ajue kuwa yye ni ex, there is no way akarudi. kama ni urafiki tu haijalishi (na hili nalijua sana) ila mambo mengine NO

Haya sasa urafiki na ex...halafu mke wa mtu,..mmmhhhh
 
Umenena vema.

uzuri wangu ex ni ex, hata aje na sura gani.
Ni kweli wanasumbua sana, lakini la maana tu ni kumfanya ajue kuwa yye ni ex, there is no way akarudi. kama ni urafiki tu haijalishi (na hili nalijua sana) ila mambo mengine NO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…