Mkuu kuoa imani tu,maana mademu wenyewe wa siku hizi vicheche,but kupunguza mawazo wwe oa ila na wwe ex akija jipendelee tu maana hujui mwenzako alikuwa wapi mchana kutwa!
huwa mie nashindwa kuelewa, watu wawili tena bado wapendanao na wanafahamu hili ni nini kinawashinda wakarudiana na kuendeleza penzi la dhati kuliko kujikomit kwa watu wengine na kuendeleza kujirusha eti ''kukumbushia penzi''....
Yaani sijawahi elewa hili kabisa!!