Inategemea na Sample huyu researcher aliyoichukua...kwangu mimi naona alichukua wrong sample na akaigeneralize!Rejao, hili linahitaji utaalamu wa mapenzi kweli? Ah bana .... Hebu jiulize wanaume waliooa Ghana wanaishiishije iwapo kwa wastani wanapata huduma ya ndoa mara moja ndani ya siku 28?
Inategemea na Sample huyu researcher aliyoichukua...kwangu mimi naona alichukua wrong sample na akaigeneralize!
kwa hali ya kawaida kukaa kwa 28 days in average ndani ya ndoa bila kukutana ni ngumu sana.
And we have no way of verifying the veracity of their responses!
Mtu anakwambia hajaundama kwa wiki nne....mimi na wewe tuna uhakika gani na anachotuambia?
hao lazima watakuwa na damu tofauti na zetu inakuaje labda watuambie wanavibanda saidizi pembeni
Dear naogopa usijenambia nawatetea but am sure kuna measures ambazo huchukuliwa angalau kuvalidate kinachoelezwa. Mi si mjuzi kihiiiivyo wa mambo ya tafiti but nadhani huwa kuna namna ya kuhakiki uhakiki wa tafiti otherwise hata mie ningekuja nikahesabu watu hapa jf na kutoka na report yangu. Sijui lakini!
The Bradley effect, less commonly called the Wilder effect,[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] is a theory proposed to explain observed discrepancies between voter opinion polls and election outcomes in some United States government elections where a white candidate and a non-white candidate run against each other.[SUP][3][/SUP][SUP][4][/SUP][SUP][5][/SUP] The theory proposes that some voters will tell pollsters they are undecided or likely to vote for a black candidate, while on election day they vote for the white candidate. It was named after Los Angeles Mayor Tom Bradley, an African-American who lost the 1982 California governor's race despite being ahead in voter polls going into the elections.
Na hao wanaume wa ki Ghana wakicheat wanacheat na nani? Si wanacheat na wanawake...(kwa kiasi kikubwa)
Kwenye hizi tafiti watu huwaga wanadanganya na zipo tafiti juu ya tafiti kuhusiana na udanganyifu wa majibu ya watu kwenye tafiti. Tumia tu hata common sense yako. Mtu akijibu kuwa hufanya sex mara kadha wa kadha kwa mwezi au kwa wiki, wewe na mimi tutajuaje kwa uhakika kuwa hicho anachotumabia ni cha kweli? Njia pekee ya kujua labda iwe mimi au wewe ndiyo tunalala na huyo mtu.
But anyway, check out this piece from Wikipedia regarding the Bradley effect. I know it is about opinion polls but opinion polls and surveys have a lot in common.
Inategemea na Sample huyu researcher aliyoichukua...kwangu mimi naona alichukua wrong sample na akaigeneralize!
kwa hali ya kawaida kukaa kwa 28 days in average ndani ya ndoa bila kukutana ni ngumu sana.
I totally agree with you NN but still I believe kuna namna ya kucheck reliability za majibu katika tafiti. Nakumbuka nilifunishwaga mambo ya validity and reliability of data /information lakini siyakumbuki tena so nakuomba spare me usiniulize maswali loh
Yaani huu utafiti umenikumbusha kipima joto cha ITV huwa wanahoji watu wawili au wanne halafu wanakwambia aslimia 80 wanasema ndiyo, very funnyNi kweli unachosema na ndiyo maana hizi tafiti nyingi huwaga zina +/- percentage ya margin of error. So don't worry. I won't hammer you with more questions.
Interesting topic... mie niko kusoma these USEFUL comments.... Na hizo siku 28 ni same bed na house?? au kasafiri??
Yaani huu utafiti umenikumbusha kipima joto cha ITV huwa wanahoji watu wawili au wanne halafu wanakwambia aslimia 80 wanasema ndiyo, very funny
Ni kweli unachosema na ndiyo maana hizi tafiti nyingi huwaga zina +/- percentage ya margin of error. So don't worry. I won't hammer you with more questions.
AshaDii ni kweli kabisa unachosema hapa and according to that article; umbali wa anapoishi mume na familia yake umeelezwa kama mojawapo ya sababu za hii hali ila mie swalo langu liko kwenye hiyo link inayojaribu kutengenezwa hapo.............when women are in charge............
Naamini kua when a woman is in charge..... inamvua kabisa confidence mwanaume ya kuweza fanya mpaka hata huyo mwanamke akafurahia.... Unless mwanamke ni Cougher or mwanaume ni Gigolo...
It is cougar and not cougher!
Ngoja nisubiri nione wataalam wa mapenzi wataongea nini
kweli aisee. Mi mwenyewe sina cha kusema hapo.
Nilijua utaleta pua yako hapa maana haya mamboz na mavituz hayakupiti wewe.