When Women Take Charge..!

MwanajamiiOne, hivi kwa nchi za kiafrika hao Mali na Malawi wanaume ndio wenye say kubwa kwenye tendo la ndoa according to utafiti ukilinganisha na nchi zingine au utafiti ulifanyika based kwenye nchi hizo tu??

Duh!! Sijui maswali mengine nakuonea lol
 
Kuna thread ilianzishwa hapa ilisema men need it every 3 days and women every 7 days so yes, there is a difference. na kama unavo jua kuna vipindi we neetd it everyday (everytime) and some period we just need ice cream and visa cards... lol

aisee, kuna wengine wanahitaji hizo mambo kama dozi.
 
Nina wasiwasi na huo utafiti
Sina imani kabisa na article yenyewe
nadhani wameandika ili kuvutia wasomaji kwa kutumia cooked data
ni jambo ambalo si rahisi kuliamini
nimefanya kazi na waghana; haiwezekani kupata ile kitu mara moja kila baada ya siku 28.
labda kuwe na sababu maalum na mtu huyo awe mwaminifu wa hali ya juu.
lakini haiwezekani mnaishi wote ndani kisha ukaa 28 days bila bila.
may be kuwe na tatizo ambalo sidhani kuwa laweza kuwa la kudumu
 
One thing is for sure.... Never seen such Chemistry between Husny na Uporoto.... @Husny mbona ka vile Uporoto wamuonea.....lol

hahahaha! Simuonei uporoto. Huyo ndio naendana nae. Lol.
 
Hizo zilizotajwa hapo ndizo nchi ambazo zilihusishwa na utafiti na katika zile ambazo tendo linafanyika angalau once after 8 days ni hizo mbili ambazo katika kutafuta sababu possible for that iligundulika kuwa katika nchi hizo wanaume wanasay ya mwisho kwenye sexual matters ndani ya ndoa zao kuliko nchi kama Ghana ambako wanawake ndio wana say.
 


Felix aksante kwa post yako. Angalau na wewe umeonyesha kutokukubaliana na utafiti huu. Labda tungepata picha halisi ya maisha ya ndoa za kighana,how stable are they, divorce rates zikoje na pengine cheating rates pia maana kusema ukweli haitally kabisa.

Wewe ambaye umeishi na waghana, je ni kweli wanawake zao wana say juu ya wanaume wao??
 
je kuwa na say ndo sababu tosha ya kuwa na data zilizowafanya kufikia conclusion na kuandika paper kama hiyo???
naomba kujua sample space na events zake kabla ya kujiridhisha katika hili japo nina maswali mengi tu ya kujiuliza
Aina ya watu waliohojiwa
Umri wa watu walohojiwa
Ukaribu kifamilia
Umbali kifamilia
Mazingira wanayoishi
Polygamy au monogamy
utamaduni wao katika hili n.k

 


Felix vyoe hivyo vimeelezwa kwenye gazeti hilo na wamesema kuwa sample yao wameexclude vitu kama polygamy, na kuzingatia vitu ulivyovitaja, Mfano umbali kati ya wanandoa nayo imekuwa among the strong factors for such observed trend. Bahati mbaya sikuwezakuzishika hizo sample size but nyingi nimeona zinaanzia wanawake 3000. Kumbuka pia kitu walichokuwa wanatafiti ni kufanyika kwa tendo hilo ndani ya ndoa na si kufanyika au kutokufanyika kwa tendo hilo kwa wanandoa.

I just wish ningewezakuipata hiyo article tushee
 
Hahaha! Mkuu ningekuwa nafanya mtihani haya maswali ningefeli yote lol! Salama lakini?
 
Kiu yangu ilikuwa ni kupata full version ya hii paper kabla sijasema lolote...Kumbe bado haijatoka...Anyway, nimeambulia haya hapa:

 
DC aksante sana maana nilikosa muda wa kutafuta nikarely kwenye hiyo article ya The EastAfrican ambayo nayo iko incomplete. Shukran ngoja niisome vizuri ila kwa jinsi ilivyoelezewa kwenye gazeti na hapa inatoa picha tofauti hata kichwa cha mada hii ambacho ndicho kichwa cha article husika!

Kule wameiweka kama vile taking charge ya wanawake wanatake charge mpaka kwenye undungu wa shuka (if I may borrow Mbu's words) wakati hapa wanazungumzia increased responsibilities ingawa conclusion yao inarudi tena kwenye power of decision making ambacho ndio ugomvi wangu!
 
MJ1,

Pamoja na kuwa kuna distortion ya taarifa kwa kuangalia heading yako, kuna ukweli usiopingika kuhusu huo utafiti.

Kwa uzoefu wangu, kadri mwanamke anapokuwa na sauti zaidi ndivyo uwezekano wa mume kupata unyumba unavyokuwa mdogo sana. Sijui ni kwa nini ila huo ni ukweli. Halafu kwa watu ambao wamekaa na watu wa nchi za Scandnavia kama vile Denmark wataelewa zaidi ninachokiongelea!

Ila nadhani huu utafiti ulilenga kuoanisha kutingwa na kazi na hapo hapo mwanamke akawa na mamlaka juu ya kutoa au kutotoa....Kwangu mimi naona hapo ni kumwaga cheche za moto kwenye tank la petrol...Yaani mwanamke ambaye ana kauli ya mwisho juu ya unyumba halafu umpe kazi nyingi (nyie mnaita kuwa busy), huyo baba inabidi atafute pa kukimbilia haraka sana!!
 

MwanajamiiOne, if I may ask….why are you enthused about this survey, study, or whatchamacallit?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…