MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #81
MJ1,
Pamoja na kuwa kuna distortion ya taarifa kwa kuangalia heading yako, kuna ukweli usiopingika kuhusu huo utafiti.
Kwa uzoefu wangu, kadri mwanamke anapokuwa na sauti zaidi ndivyo uwezekano wa mume kupata unyumba unavyokuwa mdogo sana. Sijui ni kwa nini ila huo ni ukweli. Halafu kwa watu ambao wamekaa na watu wa nchi za Scandnavia kama vile Denmark wataelewa zaidi ninachokiongelea!
Ila nadhani huu utafiti ulilenga kuoanisha kutingwa na kazi na hapo hapo mwanamke akawa na mamlaka juu ya kutoa au kutotoa....Kwangu mimi naona hapo ni kumwaga cheche za moto kwenye tank la petrol...Yaani mwanamke ambaye ana kauli ya mwisho juu ya unyumba halafu umpe kazi nyingi (nyie mnaita kuwa busy), huyo baba inabidi atafute pa kukimbilia haraka sana!!
Aksante DC ni kweli hata mie nimeiona na ndio hasa iliyonifanya niilete hii mada. The very same heading imetumika kwenye article hiyo iliyotolewa kwenye gazeti husika. Aksante sana kwa kunisaidia kuibua hoja zangu, nilikuwa nashindwa jinsi ya kuziweka mwe! Kweli shule muhimu. Sasa DC
1. Unaposema mwanamke anapokuwa na sauti, chance ya yeye kukutana na mumewe huwa ndogo, na umesema hujui sababu!! Mwe hapa kiu yangu imebaki pasipo kukatwa;
2. Hilo la kutingwa na kazi nadhani linaweza likatolewa maelezo likaeleweka angalau, kuwa ana kazi nyingi anachoka hadi kusupress hisia zake na sasa kama yeye ndo mwenye kusema sawa leo ndio au hapana, obvious baba ataambulia leo siyo mpaka achoke. But hilo la kuwa na say ya mwisho juu ya unyumba!! ina maana
- yeye kama yeye hashikwi na hamu? (Mf. hao waghana wanaosemwa kuwa huchukua hata siku 28 ? au
- Ina maana anakuwa na uwezo wa kupata kwingine mbali na mumewe?