Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Imagine ukapigwa [emoji2772] na muuza matikitiDuuh, Gamondi tena.....!
Mwacheni Muuza Matikiti Maji Wa Mji wa Buenos Aires huko Argentina Apumue jamani...!
Ni mjinga gani aliyetoa hongera kwa kocha aliyefungwa?Huyu ni kocha wa ukweli, alikataa pongezi leo wakati anaulizwa swali na mwandishi wa habari, akamwambia no when you lose there is no congratulations, naamini angekuwa Gamondi angesema Thank you.
Benchika, kama utapewa ushirikiano na wanasimba wote wakiwemo wale wanaopinga uongozi wa Mangungu ambao wamekataa kusalimu amri na wanaendelea kutia pingu miguu ya wachezaji am sure Simba inakwenda kucheza ligi ya klabu bingwa duniani.We endelea kutukana tu