When you read how Microwave affect your Health you will never use again

Plastic materials are not recommended to be used for such an activity
 
Hivi CT - SCAN na MRI pia si electromagnetic field, Tusaidien ambao hatukuenda shule ya MUHAS!
 
Mtu akisoma uzi mpka anamaliza English ya ku comment anakua nayo kabisa kichwan ukinzani unakuja Mara tu anapo gusa keyboard akili Ina Anza kumcheka na kumuuliza hvi haya mashudu yako kweli unataka kuyaa andika apa JF..? Ana andika kisha ana angalia anaona kweli Ni mashudu Tena ya kitimoto akili inamwambia mkuu kwani Ni lazima? Basi unabonyeza button ya kufuta chap kwa haraka.
 
We have ministries with departments entrusted to work on such isues and pass it to the public, but they just keep it in files. We end up in hospitals with undefined complications. A 500m distance, even if one tries to limit himself from using these apparatuses, s/he will be affected from other users. Regulations at national level are required.
 
The unfortunate situation with microwaves is that you even get second hand ones, aka mitumba, with the associated higher risk of radiation leakage!
 
Mambo ya Dr Ndodi haya na unga wa mahindi..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umenikumbusha bwana Ndodi nyakati zile anakandia sana kitambi pale star tv, nilipokuja kukutana naye miaka kadhaa mbeleni pesa imemkubali kukaa mfukoni mwake laaahaulaaaaaa...[emoji15][emoji15]alikuwa na boonge moja la kitambi
 
kwani kuna tofauti gani kati ya microwave na Oven

maana keki, mikate na vingi hupikwa na hivyo ni mara chache sana kukuta mtu anakoleza tanuri kuoka mikate or keki these days
 
Kumbe vyombo vya plastic huwa vinatumika kwenye microwave? Ndio nasikia leo.
 
Lugha iliyotumika hapa si ngumu kihivyo,kama unajua Kingereza kiasi unapata concept.And then
forget about TBS, hawa jamaa ni part of the problem.Wangekuwa wanasaisia tusingeona bidhaa fake madukani,lakini
zimejaa tele .
 
Hujanielewa. Ninachosema hapa ni kwamba kilichoandikwa hapa sio kiingereza sahihi, ni maneno tu ya kiingereza ambayo yameunganishwa unganishwa ili yaonekane kama kiingereza. Wewe hapo ulipo unajua kiingereza?
forget about TBS, hawa jamaa ni part of the problem.Wangekuwa wanasaisia tusingeona bidhaa fake madukani,lakini
zimejaa tele .
 
Hayupo mtu anayejua kiingereza na ambaye aliwahi kufundishwa kiingereza cha aina hii shuleni. Nilivyosema Kiranga aje asaidie, sikuwa namaanisha aje asaidie kwa sababu kiingereza ni kigumu.
Kwa hakika lugha iliyotumika haieleweki vizuri si kwa sababu ya ugumu, bali kwa kukosa ufasaha.
 
Hujanielewa. Ninachosema hapa ni kwamba kilichoandikwa hapa sio kiingereza sahihi, ni maneno tu ya kiingereza ambayo yameunganishwa unganishwa ili yaonekane kama kiingereza. Wewe hapo ulipo unajua kiingereza?
Mimi nakijua mkuu,nimesomea Ulaya.Hata hivyo mbona Kiingereza ni lugha tu kama Kigogo,wala kisiku-babaishe sana.Jambo la msingi hapa ni kilichomo,usiangalie grammar.
 
Hili jukwaa la watanzania usilete lugha ambazo ni watu wawili tu kati ya kumi wanazielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…