When you're beautiful on Facebook but ugly in real life, you should be arrested for misleading the public

Sesten Zakazaka nasikiaga hii lugha kwako haipindui.

Njoo unitafsirie kwa kweli maana nilichoelewa ni hiyo too much tu. Hahahahahaaa.

😜😜😜😜😜😜😜
Hahahaaaaa, hujambo weye Binti wa Kitanga?

Nipe mji basi Hajar (ushawahi kutambiwa hadithi na kupigiwa vitendawili na bibi kule Tumchapeni/Tumpigeni)?

Hadithi hii etii, inatufundisha etii tusiishi maisha ya kuigiza etii😛😛😛

Makofiiii
 
Hahaaa. Mie Alhamdulillah uzima nnao.

Kuumbe eeee. 😜😜

Oooh. Sasa kama watu wameyachagua hayo maisha ya kuigiza tutawazuiaje sie. Kikubwa ajifunzage kuwazowea tu.
Nakubaliana nawe mia kwa mia Hajar

Ishi maisha yako na uache wenzio pia waishi maisha yao, hii ni dunia huuru kabisa. Unaloliona wewe linakufaa basi fanya maana kuna mwingine anaona halifai hatalifanya
 
hivyo hata mtu akiamua kucheza ngoma za Kisegeju muache acheze tu sababu ndio chaguo lake hilo
Umenikumbusha mbali Hajar ujue. Msegeju ana ng'oooombeee na mi nang'ombe zaangu, hahahaaa ngoma za pwani hizo

Kikubwa wale anaowamudu kuwarekebisha basi apambane nao wasimamie anapopataka yeye
Na kweli awarekebishe wanae na wajukuu pia
 
If you are beautiful on the outside, but your heart and head are in a filthy state, cold and dark, my friend huendi mbinguni.

You are always very critical to our young ladies trying to impress us, let them do.

The mbinguni issues will be taken care when they get older.
 
You are always very critical to our young ladies trying to impress us, let them do.

The mbinguni issues will be taken care when they get older.

Honey, wapi nime criticize young ladies. Tuanzie hapo.

I always salute people who have the decency to ask for clarification badala ya wale ambao huwa wanakurupuka kama ulivyofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…