When you're beautiful on Facebook but ugly in real life, you should be arrested for misleading the public

Honey, wapi nime criticize young ladies. Tuanzie hapo.

I always salute people who have the decency to ask for clarification badala ya wale ambao huwa wanakurupuka kama ulivyofanya.

Mimi naona mwenzio unamkata maini, anapambana na the outside wewe unamletea the inside.

Nilivyomsoma: she is beautiful, she does not need to put fake pics to impress as her competitors.

Nilivyokusoma: You got into her competitors' shoes and tell her than the inner is more to it than the outside.

Probably misjudged, be forgiven.
 

Ngoja nikutafsirie ili twende sawa. Kama muonekano wako wa nje unavutia lakini ndani ya moyo wako kuna mambo mabaya( mfano chuki, husda, wivu na roho mbaya) huendi mbinguni.

Hapo mabinti wanahusikaje? Hiyo inaapply kwa binadamu wote. Regardless of gender. Na sikumjibu mtoa mada it was a thought of my own.
 

Nimekuelewa, sana.

Kuna jinsi nimeshindwa kuufikisha ujumbe wangu vizuri kiasi na wewe hukunielewa.

I was in the same lines, kwamba the young ones wanakomaa na uzuri wa nje (you know the teenage things) na mmoja kama alikuwa anashingilia how cutie she is, how she doesn't need photo edits.

Sasa Mama Tabia ukaja kuharibu, kukumbusha what matters the most. The part that it is hard to deal with at that age.
 


I always speak my mind, I do not seek approval from anyone. Na napenda sana kuwashauri mabinti and to set them straight so they truly know their value as women

My modus operandi may not always be so gentle and probably that's the part that makes me seem crude.
 

Pamoja, I like what you do.

Hope the target get it.

Keep going.
 
Usiwafundishe mkuu tuachie sisi na ulimwengu tutawaelewesha taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…