My words is 20/20, my vocals are crystal clear
911 style sits on your mind like chromek
911 gani alikuwa anaiongelea? Just something to think about, nothing serious.
To be continued.....
Mkuu hiyo background walikopi Oval Office wakati huo Jay Z alikuwa president wa Def Jam akawa anajiita President Carter, unakumbuka cover ya XXL Mag iliyokuwa na Jay Z, Kanye West, Foxy Brown na Lebron James?
Yeah nilikuwa nakumbuka kwamba Jay-Z alikuwa President wa Def Jam wakati huo, kwa hiyo I guess kila kitu kina make sense kwa sababu hiyo, right?
Ukiangalia picha ya Oval Office hapa chini utaona jamaa waliiga kila kitu kasoro bendera ya Rais (upande wa kulia)