Where are Indian restaurants in Dar?

Where are Indian restaurants in Dar?

Benzoic

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
421
Reaction score
149
Habari wadau. Nimetembelewa na muhindi ofisini. Natafuta migahawa ya kihindi Dar ili jamaa at least mida ya misosi ajihisi yupo Delhi. He likes biryani. Natanguliza shukran🙂
 
nenda kule posta mtaa wa samora kama unaenda harbour view tower ipo maeneo ya upande wa kushoto kwako mkuu..
 
Aghiti hapo victoria ndo barabara chee...
Lakini ukienda hotel zote kubwa angalia kwenye menu utaona indian quisine.
 
Tumia google vizuri itakupa matokeo unayoyahitaji...
 
Anjit near Victoria Bus stand along New Bagamoyo Rd.
 
Njoo mitaa ya kati uhindini-Kisutu kama uko Dar..
 
Back
Top Bottom