Benzoic JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 421 Reaction score 149 Jun 16, 2013 #1 Habari wadau. Nimetembelewa na muhindi ofisini. Natafuta migahawa ya kihindi Dar ili jamaa at least mida ya misosi ajihisi yupo Delhi. He likes biryani. Natanguliza shukran🙂
Habari wadau. Nimetembelewa na muhindi ofisini. Natafuta migahawa ya kihindi Dar ili jamaa at least mida ya misosi ajihisi yupo Delhi. He likes biryani. Natanguliza shukran🙂
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Jun 16, 2013 #2 nenda kule posta mtaa wa samora kama unaenda harbour view tower ipo maeneo ya upande wa kushoto kwako mkuu..
nenda kule posta mtaa wa samora kama unaenda harbour view tower ipo maeneo ya upande wa kushoto kwako mkuu..
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Jun 16, 2013 #3 Aghiti hapo victoria ndo barabara chee... Lakini ukienda hotel zote kubwa angalia kwenye menu utaona indian quisine.
Aghiti hapo victoria ndo barabara chee... Lakini ukienda hotel zote kubwa angalia kwenye menu utaona indian quisine.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jun 16, 2013 #4 Tumia google vizuri itakupa matokeo unayoyahitaji...
C chapus Member Joined May 13, 2013 Posts 6 Reaction score 1 Jun 24, 2013 #5 There are many,,, Kisutu area
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,904 Reaction score 8,371 Jun 25, 2013 #6 Anjit near Victoria Bus stand along New Bagamoyo Rd.
Benzoic JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 421 Reaction score 149 Jun 25, 2013 Thread starter #7 Asanteni wadau
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jun 28, 2013 #8 Njoo mitaa ya kati uhindini-Kisutu kama uko Dar..