Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
I know of Tabasamu ngongoseke who now goes by the name Lucy Kihwele. She is working for Multichoice Tanzania and is married to a Mr. Kihwele. Multichoice is a cable company.
bwahahahahaha, kumbe bonge la 'tozi' wewe mtoto!! ati, kachoka!? unataka kujua kama kachoka and then what? wabongo bwana..kaaaazi kweli kweli. Majungu na umbea mtupu, dume zima unaleta mambo ya mabinti! utasutwa, ebo! au ndio unathibitisha u-queer wako?? by the way dipso mwenzako Woody Allen ana mpya inatoka kesho teh teh teh inaitwa Vicky Cristina Barcelona..ni special kwa 'mananilii' kama wewe! LOL, mchukue patna wako mkajiridhishe.
Ooooh...na huyu....alikuwa ni host wa vipindi vya watoto ITV. Ana mwili mdogo mdogo(petite)....jina ( I think it's anaitwa Tumaini somebody) limenitoka kidogo ingawa nimesoma naye shule ya vidudu ya Shirika la chakula na lishe (TFNC) pale Ocean road.....anybody know what she's up to these days? married? kids? single? kachoka?
...Tumaini Meshack
Ooooh...na huyu....alikuwa ni host wa vipindi vya watoto ITV. Ana mwili mdogo mdogo(petite)....jina ( I think it's anaitwa Tumaini somebody) limenitoka kidogo ingawa nimesoma naye shule ya vidudu ya Shirika la chakula na lishe (TFNC) pale Ocean road.....anybody know what she's up to these days? married? kids? single? kachoka?
Duh ebanae umenishtua kidogo. Umesoma daycare center ya TFNC? Yaani mimi nimejifunzia kusoma na kuandika palepale.....
Yeah...nimesoma pale....nilikuwa mtundu sana.....
..ishu ya mtu kuchoka au vinginevyo wewe inakuhusu nini? mengine ni blah blah blah tu kama kawaida!! have a nice day, punk!
Usijekuta wewe ndio kale katototundu kalikokuwa kanaruka ukuta kila siku na kutaka kuvuka barabara kwenda kuogelea kule baharini....lol
ahahahahahahahaaaa.....ebana eeeh sasa unaniogopesha hapa mwenzio maana nilikuwa napenda sana kuangalia bahari...si unajua kwenye mida ya saa nne/ tano asubuhi maji yanaenda kuchunga halafu yanaanza kurudi mida ya jioni....nilikuwaga amazed sana na hiyo kitu ukiachia meli zilizokuwa zinakaribia kutia nanga bandarini.....
I even had a crush on some girl that was going there too....hahahahahahaaa.....
Duh long time....sidhani hata kama nakumbuka wasichana waliokuwa pale....kuna mmoja alikuwa anakaa Regency...jina hata silikumbuki...
Ila kuna washikaji wawili watatu nawakumbuka....
Ninayemkumbuka mimi ni huyo demu tu....I don't know her whereabouts but I still remember her. She was a cute little pumpkin....damn I miss her....
Ha ha haa itabidi umtafute tu ili u-check usawa...
Mimi nakumbuka mida fulani ya mchana hivi, tulikuwa tunalazimishwa kwenda kutake nap. Basi nilikuwa natoroka na kwenda kujichanganya kule maofisini...