Where are you my dream husband?

Some time, ukiwa seriously sana hupati mtu, try to be a little bit flexible.
 
Reactions: SDG
Mume ana sifa 4 tu;
1.awe rijali
2.mtafutaji
3.shujaa
4.awe na IMANI ya dini yake

Hivyo vigezo vyako labda unataka SHOGA!
 
Kwan urefu una anzia CM ngap au futi ngapi mfano?
 
Reactions: SDG
Miaka 32 halafu una nasharti kibao!!utasubiri sn.
 
Reactions: SDG
Baba wa huyo mtoto wako yupo wapi.. Nyie masingle maza mna kawaida ya kutowasahau wanaume waliowazalisha...
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…