HahahahahahahaKwa vigezo hivyo unatafuta mume kweli au mwalimu wa chuo?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]am here my dream wife ila ttzo langu ni kirikou aka joti, am i qualifying?
We ndo umepigilia msumari kabisa kiongozi,nikweli hizo ndo sifa za mwanaume kamili...!!!Mume ana sifa 4 tu;
1.awe rijali
2.mtafutaji
3.shujaa
4.awe na IMANI ya dini yake
Hivyo vigezo vyako labda unataka SHOGA!
πππohooo huyo mrefu aliye kuzapisha aliendagawap[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
Aksante kwa kuchangia dear.Huyo uliyemuumba kwa fikra bado hajazaliwa na hata kama kazaliwa amesha nyakuliwa.
Wewe endelea kumuumba hivyo hivyo kifikra utakapofika 40 ndiyo utajua maharage ni mboga au zao la biashara.
Unachagua kama vile una mkataba na Mungu. Keep dreaming my dear sister whilst years pass by...
Usijali.I know what I'm doing. Sio kwamba sipati Pm wamekuja wengi tu.Nimefanya hivyo.Ili wasizidi na Mimi nisipate shida kuchagua.Na angalau MTU asipoteze muda wake.Nimeweka wazi kila kitu Ili ukija kweli Pm upo Fuluuuu.So nimewwka ivyo.Sio baadaye MTU aseme huku sema au aje MTU alishaoa zamani.Nianze tena kusumbuana Na.mke wa zamani.Hapana.Some time, ukiwa seriously sana hupati mtu, try to be a little bit flexible.
Sio kweli.Mimi Ndo nakuhakikishia.Hapa Duniani mambo hayawezi kuwa Asilimia 100 kwa 100.Wapo.Na wamekuja.Tena wana sifa hizo.Usiwe Too Negative utakufa mapema.Mmmmhh, vigezo vikali. Kwa miaka hiyo kwa wanaume wenye kipato mujarabu wameshaoa. Mm nameet tatizo dini