Nyunga56
New Member
- May 3, 2020
- 2
- 2
Nimekusubiri sana mpenzi, mke na mama wa watoto wangu. Uko wapi mbona umechelewa sasa mamangu? Ujitokeze tuitengeneze familia. Mwanamke uliye na ndoto ya kuwa na mume na kuwa na familia yenye upendo na amani unakaribishwa.
Sifa zako, uwe mcheshi, umri kuanzia 26-30 years, elimu angalau kuanzia Kidato cha NNE, umbo usiwe mnene sana, dini yoyote na kabila lolote. Uwe focused na maisha, mengine tutafundishana tukiwa pamoja.
Kuhusu wasifu wangu, Nina miaka 32, elimu bachelor, nimejiajiri nafanya biashara zangu, mengine utafahamu zaidi PM.
Karibuni kwa wahusika, kama haikuhusu tafadhali pita kimyakimya!