Where did you meet with your partner?

Wa kwanza nilikutana nae kishule shule sec, wa pili chuo, wa tatu kazn, wa nne natabr ntakutana nae kijjn maana ntaenda kuoa huko, wa mjini wame n shinda
 
wote tulikuwa wafungwa...siku moja tuliletwa mahakamani hapo ndo tulipo juana baada ya kumaliza vifungo vyetu tukaowanaa.
 
Dadii JF

Other partner JF

Mchokozi JF

Aliyenihonga gari nilikutana nae msibani nilikuwa nawanawisha mikono kabla ya chakula.
duh! ukampatia Linda akakupa gari sema maumivu yalikuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…