Where did you meet with your partner?

Tulikutana katika Mashindanno ya UMITASHUMITA Ngazi ya Mkoa, 1995 Nikiwa Darasa LA 7. Acha siku hizi Primary wanasoma watoto, enzi hizo MTU ana miaka 15 yupo Darasa LA Pili..
 
kirumba tunaenda? Au ndio presha inapanda na kushuka?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tunaenda tunaenda Mkuu. Hapana sijawahi pandwa na presha kabla.

Huwa mechi ikianza ndio moja haikai na hata mbili huwa haikai. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nikishampata Atoto nitakuja kupost, kwa sasa nipo kwenye mchakato. Ee mola nisaidie!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…