Nilienda posta, na ile item sikuikuta. Ndio maana nimekuja hapa jamvini ili nipate mwongozo kwa yeyote mwenye uzoefu.
Ngoja nijaribu huu ushauri! Nitaleta mrejesho nikipata jibu!!Nenda Posta pale ulipofungulia ilo Box
Mzigo kutoka China mara nyingi ni 30days unakua umefika hivo kwa hiyo order date mpaka leo mzigo inabidi uwe umefika
Or less hiyo ox ina shida kama una reference number wapigie Posta makao makuu waeleze kama reference number hauna muombe seller or less usihangaike nae sana mwambie afanye shipping upya au afanye refund,it may not help though mpaka ubaini tatizo katika hilo box
Ushauri wa mdau hapo juu ufanyie kaziNgoja nijaribu huu ushauri! Nitaleta mrejesho nikipata jibu!!
ungeandika maana kuna option hio na sehemu unayoishi kwa hiyo itakua rahisi kwao kukupataNdio, sikuandika namba za simu.
Ngoja nijaribu huu ushauri! Nitaleta mrejesho nikipata jibu!!
Utaupata iwapo umetumia kampuni kama DHL, ARAMEX etl kusafirisha mzigo wako, ambapo utapigiwa simu pindi mzigo wako ukifika.vipi kama hauna po box halafu katika order umeweka namba ya simu tu unaweza kupata mzigo wako?
Ni vyema kufanya makubaliano ya kusafirishia sambamba na bidhaa yako husika.nafikri DHL au ARAMEX ni wazuri zaid mimi niliagiza mashine za kunyolea nywele (30 pcs) toka china na jamaa wanaita KIKUU mwezi wa pili na zaidi sasa (60+days) naambiwa ipo njiani. uzuri nilikuwa sijawalipa.