joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Vipi kuhusu Miguna Miguna, pia mlifuata sheria zenu kumfurisha nchini?Nyie mlimkamata mwanahabari na kumtia ndani bila hata kumpa bond. Sisi bond ni haki ya mshukiwa. Nyie mlimkamata mwanahabari na kumtia ndani bila kumpa fair trial. Mama ya mwanahabari Erick Kabendera alifariki kwa sababu ya stress lakini Erick akanyimwa ruhusa ya kumzika mamake. Nyie wakatili sana. Duh
Kwahiyo kwasbabu ninyi kwenu makosa yote sheria inaruhusu kupewa bond, kwahiyo unataka nchi zote zifuate ninyi?. Makosa aliyoshitakiwa nayo hayana bond kwa mujibu wa sheria zetu, Kwahiyo tumefuata sheria zetu sio zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jacob JumaMohammed Ali sasa hivi ni mbunge. Kama serikali ilikuwa inataka kumuua basi angekuwa maiti saa hii. Lakini jamaa sasa hivi anakula bata. Hata rafiki yake waliyefanya naye kazi John Allan Namu pia yuko hai na hakuna anayemtishia maisha
La. Sheria haikufuatwa kwa kumfurusha Miguna.Vipi kuhusu Miguna Miguna, pia mlifuata sheria zenu kumfurisha nchini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya hao wote ni yupi kati yao ambaye ni mwanahabari?Jacob Juma
Msando
Makaburi
Rogo
Boss wa Modern Coast
Hahahaha, hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Onyesha ni mahabusu gani Kenya aliruhusiwa kumzika mzazi wake na kurudi gerezani, au huko kweni mahabusu hawafiwi na wazazi wao?Hata kumzika mamake chini ya ulinzi wa polisi pia hairuhusiwi kisheria? Sheria za kinyama hizo
Sheria zenu zinalinda wanahabari na wanasiasa tu?Kati ya hao wote ni yupi kati yao ambaye ni mwanahabari?
Vipi mnajidanganya kwamba mahakama zenu zipo huru wakati zinatishwa na hazisikilizwi zinapitoa hukumu?La. Sheria haikufuatwa kwa kumfurusha Miguna.
Nipe evidence ya Mwanahabari wa Kenya ambaye amewahi kuuwawa na wasiojulikana. Hiyo tu ndio nataka.
Kila mtu analindwa na sheria. Jacob Juma alimalizwa pengine kwa sababu aliongea vibaya kuhusu watu fulani wenye nguvu kwenye serikali. Au inawezekana pia ni vita ya kibiashara. Ila nadhani aliunda uadui na watu wenye nguvu kumshinda aidha kibiashara au kisiasa.
Freedom of Expression mipaka yake ni nani anayeichora?, nani mwenye kuamua kwamba hapa ndio mwisho?. Acheni maneno mengi ya kujitetea. " Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha". Angefanya Magufuli ungekua ni uminyaji wa uhuru wa kujieleza, ila kwenu ni sawa sio kosaSababu ya kitiwa mbaroni ni baada ya yeye kupost video ya uwongo.Amefanya mzaha kuhusu corona.Leo hii clinic ya magonjwa ya ngozi AVANE imefungwa baadaye ya kuhadaa wakenya kwamba wanauza self test kit za corona.View attachment 1389765
Vipi serikali ilikataa kuruhusu vyombo vya nje kuchunguza mauaji yao pamoja na shinikizo kubwa toka NASA, wakati kifo cha Kenei haraka sana mumeita FBI?Kila mtu analindwa na sheria. Jacob Juma alimalizwa pengine kwa sababu aliongea vibaya kuhusu watu fulani wenye nguvu kwenye serikali. Au inawezekana pia ni vita ya kibiashara. Ila nadhani aliunda uadui na watu wenye nguvu kumshinda aidha kibiashara au kisiasa.
Kuna wakati Executive inakataa kusikiliza orders za judiciary. Hiyo ni tatizo la serikali ya Uhuru. Rais Uhuru mwenyewe ndiye anastahili kukosolewa kwa kutoheshimu orders za korti. Ila orders nyingi za korti huwa zinaheshimiwa. Sema hiyo mambo ya Miguna au Wanajeshi waliotuhumiwa kupindua serikali kutolipwa pesa zao. Ila ni mara chache sana serikali inakaidi amri ya mahakama. Hata nikikuambia unipe listi, hazitafika kumiVipi mnajidanganya kwamba mahakama zenu zipo huru wakati zinatishwa na hazisikilizwi zinapitoa hukumu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mipaka ipo. Huwezi danganya wananchi kisha ukategemea tutacheka na weweFreedom of Expression mipaka yake ni nani anayeichora?, nani mwenye kuamua kwamba hapa ndio mwisho?. Acheni maneno mengi ya kujitetea. " Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha". Angefanya Magufuli ungekua ni uminyaji wa uhuru wa kujieleza, ila kwenu ni sawa sio kosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani sasa unaelewa kwamba, kila serikali inajiwekea mipaka yake, hakuna serikali ambayo ni 100% correctMipaka ipo. Huwezi danganya wananchi kisha ukategemea tutacheka na wewe
Ni mambo ya kisiasa. Sheria zipo pengine useme wanasiasa ndio hawataki kuzifuata. Kama nilivyosema kifo chake aidha ni mambo ya kibiashara au siasa kwa hivyo huwezi tegemea wasiojulikana kujichunguza. Akili kichwani.Vipi serikali ilikataa kuruhusu vyombo vya nje kuchunguza mauaji yao pamoja na shinikizo kubwa toka NASA, wakati kifo cha Kenei haraka sana mumeita FBI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ambavyo juzi uliomba ushahidi wa jinsi GoK anavyowanyanyasa waandishi Wa habari nikakutumia za kutosha, hata ktk hili ninaweza kukutumia za kutosha pia, tatizo nikikuwekea unapotea hauendelei na malumbano, ninaogopa kukupotezaKuna wakati Executive inakataa kusikiliza orders za judiciary. Hiyo ni tatizo la serikali ya Uhuru. Rais Uhuru mwenyewe ndiye anastahili kukosolewa kwa kutoheshimu orders za korti. Ila orders nyingi za korti huwa zinaheshimiwa. Sema hiyo mambo ya Miguna au Wanajeshi waliotuhumiwa kupindua serikali kutolipwa pesa zao. Ila ni mara chache sana serikali inakaidi amri ya mahakama. Hata nikikuambia unipe listi, hazitafika kumi
Hii sio mambo ya serikali. Hii ni mambo ya sheria zetu. Cap 33,34 na 35 of the constitution ndio zinahusu mambo ya communication. Kwa mujibu wa sheria ya Kenya, huruhusiwi kudanganya wananchi. Ukipatikana na kosa hili, lazima upelekwe kortiniNadhani sasa unaelewa kwamba, kila serikali inajiwekea mipaka yake, hakuna serikali ambayo ni 100% correct
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha. Wewe ulianza kuleta mambo ya Sheikh Aboud Rogo. Nikaona wacha nisepe. Mimi nataka listi ya wanahabari waliofungwa na serikali au hata kuuwawa. Kama unayo leta.Kama ambavyo juzi uliomba ushahidi wa jinsi GoK anavyowanyanyasa waandishi Wa habari nikakutumia za kutosha, hata ktk hili ninaweza kukutumia za kutosha pia, tatizo nikikuwekea unapotea hauendelei na malumbano, ninaogopa kukupoteza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ushawahi kuona au kusikia mwanahabari kama huyo mohamed ali huko TZ?Humu pamejaa lapdogs wa UHURUTO kazi kujifaragua!
Mohamed Ally alikuwa anaishi kama digidigi kisa makala za Fikra Pevu huo uhuru wa waandishi ama kujieleza wameupata lini?