Where is freedom of expression?: Mkenya akamatwa kwa sababu ya kutumia uhuru wake wa kujiekeza kuhusu Corona

Hii sio mambo ya serikali. Hii ni mambo ya sheria zetu. Cap 33,34 na 35 of the constitution ndio zinahusu mambo ya communication. Kwa mujibu wa sheria ya Kenya, huruhusiwi kudanganya wananchi. Ukipatikana na kosa hili, lazima upelekwe kortini
Kila nchi ina katiba yake, 80% anayofanya Magufuli yapo ndani ya katiba, ila kuna maeneo anatumia ubabe kama ambavyo Uhuru Kenyatta anavyotumia ubabe kwa Miguna na Maraga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Freedom of Information ni sheria ya mtu ku express ukweli au Opinion yake!

Freedom of Informaation hailindi mtu ambaye anaeneza uongo, propaganda au matusi.....

Serekali ilisema Kenya imepata first case ya corona kutoka kwa mwanadada ambaye ana miaka 26 alisafiri kutoka marekani ...

Alafu mama ambaye ana miaka karibia 40, ako na mtoto anajitokeza kusema kwamba Kenya hakuna corona , na ni yeye ndo anasemekana alikua na corona.... What happens next? Kila mtu ambaye anashindana na Jubelee anaanza kusema serekali inadanganya, Kenya hakuna corona..... Unafikiri propaganda kama hizi zikiwachwa zisambae zitafanya nini???? Watu hawatachukua hatua za kujilinda kutokana na corona, kila mtu ataenda na shughuli kama kawaida huku wakisambaza corona alafu baadae wakianza kufa wataanza kulalamikia serekali ilishinda kuwalinda...

Huu si wakati wa mchezo na propaganda za kijingaza watu wanaotafuta 15 min of fame.......
 
Wewe ushawahi kuona au kusikia mwanahabari kama huyo mohamed ali huko TZ?
Wamewahi kuwepo wengi tu tena zaidi ya huyo aliyeufyata kisa vitisho!

Unamjua Stan Katabalo?
 
Wamewahi kuwepo wengi tu tena zaidi ya huyo aliyeufyata kisa vitisho!

Unamjua Stan Katabalo?
Unaongelea wanahabari wa 1992!!!!!!???? hii inaonyesha vile hamna wanahabari wajasiri kabisa.
 
Ulitaka wa mwaka gani? Uliza upya nmekujibu kuligana na swali lako.
Sisi huku investigative journalist wanaangusha siri zinazofichwa na serekali karibu kila wiki..
Unakuta ofisa wa serekali leo anatangaza jambo flani,kesho yake kwa habari unapata mwanahabari flani alienda undercover kumrikodi huyo ofisa akisema jambo lengine kinyume na alichotangaza hadharani... Yani wanahabari wanachambua kila kitu left, right and center.... kila wiki unakut serekali inalazimishwa kujitetea kwa scandal mpya ambayo imefichuliwa na wanahabari
 

you what? Kwa nini basi hakukamatwa waziri wa Afya ambae ndie wa mwanzo kutoa taarifa zisizo sahihi? Kwa nini wamkamate yule ambae anatafuta ukweli wa taarifa zilizotolewa na serikali?
 
you what? Kwa nini basi hakukamatwa waziri wa Afya ambae ndie wa mwanzo kutoa taarifa zisizo sahihi? Kwa nini wamkamate yule ambae anatafuta ukweli wa taarifa zilizotolewa na serikali?
Waziri wa afya alitoa taarifa zipi hizo ambazo hazikuwa sahihi?
 
Kumbe yakiwatokea ndio mnafahamu kuwa uhuru una mipaka
Ngaguyaai, yaani unafananisha hizi taarifa na zile za wanahabari wanaokamatwa huko Magufulistan? Tena kwa kusema ukweli kwamba Jiwe ni dikteta, na hizi za huyu jamaa anayetuhumiwa kuhatarisha maisha ya wakenya wenzake kwa kueneza uongo kuhusu Corona? Kanyoo roi, kae moda ninye? [emoji1]
 
"A person who knowingly publishes information that is false in print, broadcast, data or computer system that is calculated or results in panic, chaos, or violence among citizens of the republic, or which is likely to discredit the reputation of a person commits an offence and shall on conviction shall be liable to a fine not exceeding KSh 5 million or to imprisonment for a term not exceeding ten years or to both," reads section 23 of the act.
 
Freedom of expression comes with responsibility. Just the mere fact that you have the right to express yourself doesn't mean that you should abuse that freedom by providing false/misleading information to the public
 
Yakiwatokea ndio mnafahamu kuwa uhuru una mipaka ili ikitokea nchi zingine mnasema ni udikteta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Soma comment yangu tena na uangalie nilicho kuquote,
Yakiwatokea ndio mnafahamu kuwa uhuru una mipaka.

"A person who knowingly publishes information that is false in print, broadcast, data or computer system that is calculated or results in panic, chaos, or violence among citizens of the republic, or which is likely to discredit the reputation of a person commits an offence and shall on conviction shall be liable to a fine not exceeding KSh 5 million or to imprisonment for a term not exceeding ten years or to both," reads section 23 of the act."

Soma hii kwa umakini. Ukipenda nitakupa tasfiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…