August_Shao
Senior Member
- Nov 23, 2007
- 164
- 48
aaah ubaya wake nini?Kwanza kabisa kitendo ulichofanya cha kuwa na wasichana 2 kilikuwa kibaya, wewe ni mmojawapo wa wale wanaume waongo.
Pili hujui kupenda, ungejua kupenda hapa jibu tayari ungekuwa nalo. Usiwaaribie muda mabinti za watu amua moja, maana ww ndio unajua.
aaah ubaya wake nini?
Dini inaturuhusu hata wa4 sembuse wa2? acha kabisa.....nyie ndio mnaomsakama ofisa Kitila mkumbo kwa kummega HG wake....
..ushauri bwana shao angalia shori mkali kwako kwa kila kitu ndio ukae nae....kwa nionavyo mzazo mwenzio anakufaa zaidi
pamoja na bold yako sijakuelewa.....point yako ni ipi?Mkuu unajua dini yake mpaka useme inaruhusu wake hata wanne au una presume? If that was the case then kulikuwa na haja gani yeye kuomba ushauri hapa? Si angewaoa wote wawili kama ndiyo hivyo? The guy doesn't love any of them ndiyo maana mpaka sasa hajui amchague yupi. Angekua na mapenzi ya kweli angekwisha mchagua anayempenda zaidi. Sasa yeye anaomba ushauri hapa sisi tutajuaje moyo wake upo kwa nani?
pamoja na bold yako sijakuelewa.....point yako ni ipi?
Mkuu angalia kifaa ambacho kinakujali na wewe unakipenda unaweza ukampenda huyo mwenye mtoto kumbe yeye hakupendi jaribu kuwa makini.
ubaya wake upi?Macho yako yana matatizo? kwani hujasoma amesema huyo mwenye mtoto anampenda sana hadi anachukia.
Lea mtoto wako , anahitaji mapenzi ya baba na mama huyo mwingine muache atafute wa kwake,
Halafu kuzaazaa kila mtoto na mama yake ni vibaya tena kwa kujitakia kama wewe.
mimi nakushauri uusikilize moyo wako,iili ukae na mtu unayempenda!watu watakushauri weeeeeeeeeeeeeeeee lakin finally wewe ndo utakae ishi na mmoja wapo!
HALLA BACK!